Wana CCM Wasafi Watabaki CCM

Chama cha Mapinduzi ni chama pekee cha kisiasa kikubwa hapa nchini, kwa kauli alishawahi kutoa Mwalimu Nyerere kuwa CCM ni kama kokoro kina wanachama wa kila aina Mafisadi, wauza madawa ya kulevya, wakwepa kodi etc.

Kuondoka/Kuhama kwa kiongozi ama viongozi ni dalili tosha kuwa mageuzi makubwa ya kimadili yanatekelezwa kikamilifu na CCM na watu ambao walikuwa wanakipa chama hiki dosari nyingi wataendelea kikimbia. Wana CCM msiwe na wasiwasi na uongozi uliopo wa CCM sasa hivi Tanzania tunapita kwenye mpito wa mageuzi ya kiuchumi na Inshaaalah tutafanikiwa.

Hizi Propoganda ya watu juu ya uchumi ni wale kwa sehemu kubwa ndio walioshiriki kulifikisha taifa hili hapa. Tanzania mpya inakuja isiokuwa na mafisadi, wakwepa kodi, wauza madawa ya kulevya.
Kidumu chama cha Mapinduzi.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi. Naomba tu niulize swali kama kweli ndani ya CCM kuna Mafisadi, Wauza unga n.k
Kwa nn waambiwe waondoke wenyewe badala ya sheria kuchukua mkondo wake? Au tuseme sheria za nchi zimetoa msamaha mafisadi,wauza unga wakiwa ndani ya CCM.? Kwa nn Mwanachama akitoka tu CCM anapachikwa majina mengi tu wakati alipokuwa ndani alipigiwa makofi na mapambio?
 
Ni kwel na hakuna binadam aliekamilika kuna sehem anakosea xo n lazma tumkosoe ila na pale anapofanya vzur nae tumpongeze tuacha ushabiki wa vyama,,,,nashangaa san Msigwa alimsema sana nyalanda akiwa wizara ya mali asil lkn leo anamtukuza na kumwita kamanda,,kwel kwa hali hii tutafka?hii n kama soka la tanzania ambalo haliwez kuendelea maan STARS itacheza na taifa lingine lkn mtanzania anaenda kuangalia wachezaj wa simba/yanga wapo wangap, kwel tutafka?tufke mahala tuache ushabiki
Wanasiasa wote awe ccn au upinzani,wote ni walewale wachumia matumbo tu hawawatumikii watanzania bali familia zao, cha msingi watanzania tuwe na elimu ya uraia kutambua lipi jema ba lipi bovu tusishikiwe akili na akina mbowe,kibajaji,polepole,msigwa n.k
 
Wanasiasa wote awe ccn au upinzani,wote ni walewale wachumia matumbo tu hawawatumikii watanzania bali familia zao, cha msingi watanzania tuwe na elimu ya uraia kutambua lipi jema ba lipi bovu tusishikiwe akili na akina mbowe,kibajaji,polepole,msigwa n.k
Umenena vizur
 
Mkuu kumbuka kwenye uchaguzi mkuu 2015 taswira ya CCM kwa wananchi ilikuwa mbaya sana kwasababu CCM ilikuwa ndio kitovu kikubwa cha kila aina ya uovu. Watanzania wengi pamoja wengi wanavyodai maisha yalikuwa mazuri na pesa zilikuwa nyingi lakini bado watu waliichukia CCM. Uchumi wa Tanzania ulikuwa unaelekea pabaya maana yangu tabaka ya walichonacho na wasiokuwa nacho ilizidi kuwa kubwa, na soo called matajiri wengi walijipatia utajiri wao kwa njia isiyo kuwa ya halali. Nakupa mfano kuna kampuni moja kubwa ya simu ilikuwa iwe mradi wa CCM lakini viongozi waliotumwa kuandika mktaba huo wakageuza kuwa kampuni hiyo ya simu kuwa kampuni yao binafsi hiyo ni moja ya mfano bado kuna mifano mingi. Kwa kifupi mie binafsi sikuweza kuamini kama CCM inaweza kupata Mwenyekiti jasiri kama Mheshimiwa John Magufuli. Tutegemee CCM inarudi mikononi mwa falsafa ya siasa ya Ujamaa na Kujitegemea.
Sawa.
 
na pia tukumbuke tu kwamba, kuhama chama hakumfanyi mtu asiye mzalendo akawa mzalendo.
Kama alikotoka ameshindwa kuuishi uzalendo, huko atakofikia ataweza?
Vyama vya upinzani vimepata kazi nyingine tena ngumu, ya kuwasafisha walio onekana wana madoa mbele ya jamii.
Acha filosofia za uongo. Ukiishi na wala rushwa unakuwa mla rushwa. Ukitoka kwa wala rushwa na kwenda kwa waadilifu na kusikokuwa na nafasi ya kula rushwa, huwezi kuendelea kuwa mla rushwa.
 
Kidumu Chama Cha Mapinduzi. Naomba tu niulize swali kama kweli ndani ya CCM kuna Mafisadi, Wauza unga n.k
Kwa nn waambiwe waondoke wenyewe badala ya sheria kuchukua mkondo wake? Au tuseme sheria za nchi zimetoa msamaha mafisadi,wauza unga wakiwa ndani ya CCM.? Kwa nn Mwanachama akitoka tu CCM anapachikwa majina mengi tu wakati alipokuwa ndani alipigiwa makofi na mapambio?
Hawana utamaduni huo. Miaka yote in watu wa kulindana. Mpaka MTU atoke kuwa mmoja wao ndipo wanaweza kumsema maovu yake.
 
Kwenye suala la rushwa itabidi tumsubiri MTU mmoja ili aje kutueleza vizuri hasa msimamo wake wakati wa kampeni tena hapo 2020. Kwa sasa bado hatujamwelewa vizuri. Itabidi atufafanulie vizuri ni kwa namna gani MTU anaweza kutuhumiwa kwa rushwa, kisha akapandishwa cheo. Hii mbinu yake ya kupigana na rushwa Mimi sijaielewa vizuri bado.
 
Kutii ni pamoja na kuacha ufisadi ujue, kutompinga ni pamoja na kusema ndiyo sinto iba wakati huu..Siyo tu ulivyo crame, hao ndiyo waliopo na mwenyekiti kwa sasa; wame amua ku hibernate na bila kufahamu hii ndiyo imetoka ikirudi ni pancha watajikuta wamekuwa assimilated kwakua hatutegemei ufisadi kufufuka tena mpaka vipite vizazi si chini ya vinne kama zilivyo baraka za Mungu; Poleni mmekamatwa pabaya kuweni wapole tu hakuna jinsi!

Acha tu niwakumbushe hizi notes...Kuna ambao walidhani ni hadithi, kwa macho wameona, kwa masikio wamesikia...Inabidi muamini tu kwa lazima, ufisadi era is gone forever....Poleni, nyumba yenu iliungua moto mapema sana naliwajulisha you could not listen!
 
Back
Top Bottom