Wana CCM Wasafi Watabaki CCM

Bowie

Bowie

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Messages
3,587
Likes
4,762
Points
280
Bowie

Bowie

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2016
3,587 4,762 280
Chama cha Mapinduzi ni chama pekee cha kisiasa kikubwa hapa nchini, kwa kauli alishawahi kutoa Mwalimu Nyerere kuwa CCM ni kama kokoro kina wanachama wa kila aina Mafisadi, wauza madawa ya kulevya, wakwepa kodi etc.

Kuondoka/Kuhama kwa kiongozi ama viongozi ni dalili tosha kuwa mageuzi makubwa ya kimadili yanatekelezwa kikamilifu na CCM na watu ambao walikuwa wanakipa chama hiki dosari nyingi wataendelea kikimbia. Wana CCM msiwe na wasiwasi na uongozi uliopo wa CCM sasa hivi Tanzania tunapita kwenye mpito wa mageuzi ya kiuchumi na Inshaaalah tutafanikiwa.

Hizi Propoganda ya watu juu ya uchumi ni wale kwa sehemu kubwa ndio walioshiriki kulifikisha taifa hili hapa. Tanzania mpya inakuja isiokuwa na mafisadi, wakwepa kodi, wauza madawa ya kulevya.
Kidumu chama cha Mapinduzi.
 
Safari_ni_Safari

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Messages
23,230
Likes
7,043
Points
280
Safari_ni_Safari

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2007
23,230 7,043 280
Ukiona taasisi kila mtu anakuwa msemaji ujie ina matatizo makubwa sana. Time will tell
 
K

kimarabucha

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Messages
793
Likes
612
Points
180
K

kimarabucha

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2017
793 612 180
Hakuna msafi
 
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2015
Messages
8,420
Likes
13,558
Points
280
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2015
8,420 13,558 280
CCM na itikadi zake pamoja na viapo vyake ni visafi kiasi cha kumfanya mtu mchafu aliyeamua kuongoka na kupitia ukengeufu chanya kuishi maisha mema na raha mstarehe.

Mtu anaesema ni CCM lakn haishi misingi yake ni sawa na mtu kusema ni mkristo au muislam lakin haishi misingi na kanuni za imani hiyo. Uamuzi wa kuishi nje ya kiwango haukifanyi kiwango au imani kuwa batili. hii nadharia ndogo kwa kushindwa kuielewa imewafanya wengi kutapatapa na kurandaranda kisiasa.
 
Andrew Mushi

Andrew Mushi

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2016
Messages
630
Likes
686
Points
180
Andrew Mushi

Andrew Mushi

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2016
630 686 180
Sio wasafi tu; bali pia wenye moyo wa uzalendo kwa taifa lao.
Neno wasafi na wazalendo Lina maana guba zaidi ya unachokihisi na kukifahamu wewe au kutoelewa maana yake kabisa, na hapo ndio ukomo wako kitafakari umefikia mwisho na unashindwa kufikia rational thinking , yaani confused!

How come chaka becomes a grass land? Please explain , yaani munaongea na munajichanganya, these are two different concept, and you are fitting the latter!
 
Odhiambo cairo

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
9,057
Likes
10,569
Points
280
Odhiambo cairo

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
9,057 10,569 280
Chama cha Mapinduzi ni chama pekee cha kisiasa kikubwa hapa nchini, kama kauli alishawahi kutoa Mwalimu Nyerere kuwa CCM ni kama kokoro kina wanachama wa kila aina Mafisadi, wauza madawa ya kulevya, wakwepa kodi etc.

Kuondoka/Kuhama kwa kiongozi ama viongozi ni dalili tosha kuwa mageuzi makubwa ya kimadili yanatekelezwa kikamilifu na CCM na watu ambao walikuwa wanakipa chama hiki dosari nyingi wataendelea kikimbia. Wana CCM msiwe na wasiwasi na uongozi uliopo wa CCM sasa hivi Tanzania tunapita kwenye mpito wa mageuzi ya kiuchumi na Inshaaalah tutafanikiwa.

Hizi Propoganda ya watu juu ya uchumi ni wale kwa sehemu kubwa ndio walioshiriki kulifikisha taifa hili hapa. Tanzania mpya inakuja isiokuwa na mafisadi, wakwepa kodi, wauza madawa ya kulevya.
Kidumu chama cha Mapinduzi.
Hakuna msafi huko ukizingatia dereva ameingia kwenye usukani na nguo za gereji.

Najua hampendi kujua habari nyumba za serikali, wala kivuko cha 1978, wala bomberdia kuzuiliwa hizo ni habari safi na za kizalendo
 
JF Member

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Messages
2,069
Likes
1,251
Points
280
JF Member

JF Member

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2014
2,069 1,251 280
Hahah Chama dume.
 
dem boy

dem boy

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2016
Messages
2,548
Likes
3,168
Points
280
Age
57
dem boy

dem boy

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2016
2,548 3,168 280
Labda usafi wa suti/tai na mng'aro wa kiwi juu ya moka...
 
Bowie

Bowie

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Messages
3,587
Likes
4,762
Points
280
Bowie

Bowie

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2016
3,587 4,762 280
Hakuna msafi huko ukizingatia dereva ameingia kwenye usukani na nguo za gereji.

Najua hampendi kujua habari nyumba za serikali, wala kivuko cha 1978, wala bomberdia kuzuiliwa hizo ni habari safi na za kizalendo
Making mistakes does not mean you're a failure. It just means you're trying and learning in life. Dereva anarekebisha mambo kwa makosa yaliyofanyika. Mkuu kuwa na matumaini na Dereva, anapigwa kila aina za vita ila Inshaaalah atafanikiwa.
 
Shepherd

Shepherd

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2012
Messages
1,837
Likes
979
Points
280
Shepherd

Shepherd

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2012
1,837 979 280
Kifalsafa na kisaikolojia hilo haliwezekani,ndio manake kwenye nyumba za ibada kuna wema na waovu.Unaweza kuta kuna wala rushwa na mafisadi makubwa kwa nje yamevaa ngozi ya kondoo kwa ndani ni mbwa mwitu yanabadilika kuendana na uongozi na awamu iliyoshika hatamu.Bado siamini na kukubaliana na ujumbe wako aiwezekana mtu akiwa ccm mabaya yake ayasemwi anakuwa msafi akitoka ndio anasemwa na kuchafuliwa,kwa dhana na nadharia ya kumsema mtu kubwabwaja na kumnanga anapotoka ccm basi ni kwamba huko ndimo wamejificha na mnawakumbatia.Nadharia yako ya uadhilifu aiwezi kualakishwa kwa mandishi na nadharia bila vitendo.
 
Mkuu kumbuka kwenye uchaguzi mkuu 2015 taswira ya CCM kwa wananchi ilikuwa mbaya sana kwasababu CCM ilikuwa ndio kitovu kikubwa cha kila aina ya uovu. Watanzania wengi pamoja wengi wanavyodai maisha yalikuwa mazuri na pesa zilikuwa nyingi lakini bado watu waliichukia CCM. Uchumi wa Tanzania ulikuwa unaelekea pabaya maana yangu tabaka ya walichonacho na wasiokuwa nacho ilizidi kuwa kubwa, na soo called matajiri wengi walijipatia utajiri wao kwa njia isiyo kuwa ya halali. Nakupa mfano kuna kampuni moja kubwa ya simu ilikuwa iwe mradi wa CCM lakini viongozi waliotumwa kuandika mktaba huo wakageuza kuwa kampuni hiyo ya simu kuwa kampuni yao binafsi hiyo ni moja ya mfano bado kuna mifano mingi. Kwa kifupi mie binafsi sikuweza kuamini kama CCM inaweza kupata Mwenyekiti jasiri kama Mheshimiwa John Magufuli. Tutegemee CCM inarudi mikononi mwa falsafa ya siasa ya Ujamaa na Kujitegemea.
 
Mzee wa Mbinu

Mzee wa Mbinu

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2011
Messages
228
Likes
93
Points
45
Age
40
Mzee wa Mbinu

Mzee wa Mbinu

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2011
228 93 45
Kama habari za jesu aliposema kuwa asiye na dhambi aanze kumtupia jiwe huyu dada, Kama CCM wakiambiwa asiye kuwa fisadi aje hapa mbele hakuna ambaye atatoka wote ni majizi makubwa hasa hao wanaosema sana
 
nygax

nygax

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Messages
1,066
Likes
552
Points
280
nygax

nygax

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2017
1,066 552 280
na pia tukumbuke tu kwamba, kuhama chama hakumfanyi mtu asiye mzalendo akawa mzalendo.
Kama alikotoka ameshindwa kuuishi uzalendo, huko atakofikia ataweza?
Vyama vya upinzani vimepata kazi nyingine tena ngumu, ya kuwasafisha walio onekana wana madoa mbele ya jamii.
 
LESIRIAMU

LESIRIAMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2008
Messages
4,531
Likes
3,012
Points
280
LESIRIAMU

LESIRIAMU

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2008
4,531 3,012 280
Chama cha Mapinduzi ni chama pekee cha kisiasa kikubwa hapa nchini, kama kauli alishawahi kutoa Mwalimu Nyerere kuwa CCM ni kama kokoro kina wanachama wa kila aina Mafisadi, wauza madawa ya kulevya, wakwepa kodi etc.

Kuondoka/Kuhama kwa kiongozi ama viongozi ni dalili tosha kuwa mageuzi makubwa ya kimadili yanatekelezwa kikamilifu na CCM na watu ambao walikuwa wanakipa chama hiki dosari nyingi wataendelea kikimbia. Wana CCM msiwe na wasiwasi na uongozi uliopo wa CCM sasa hivi Tanzania tunapita kwenye mpito wa mageuzi ya kiuchumi na Inshaaalah tutafanikiwa.

Hizi Propoganda ya watu juu ya uchumi ni wale kwa sehemu kubwa ndio walioshiriki kulifikisha taifa hili hapa. Tanzania mpya inakuja isiokuwa na mafisadi, wakwepa kodi, wauza madawa ya kulevya.
Kidumu chama cha Mapinduzi.
Ni yupi msafi sasa! Alie uza nyumba za umma au!! Alie kamata meli ya samaki au!! Aliahidi 50m kila kijiji sasa kabadilisha mawazo au akie mpiga mtu rungu la kichwa?? Alie bomoa nyumba za watu nchi nzima lakini kwa ndugu zake kasema zisiguswe?? Nashindwa kuelewa hapo
 
A

Ame

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2011
Messages
3,357
Likes
668
Points
280
A

Ame

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2011
3,357 668 280
Chama cha Mapinduzi ni chama pekee cha kisiasa kikubwa hapa nchini, kama kauli alishawahi kutoa Mwalimu Nyerere kuwa CCM ni kama kokoro kina wanachama wa kila aina Mafisadi, wauza madawa ya kulevya, wakwepa kodi etc.

Kuondoka/Kuhama kwa kiongozi ama viongozi ni dalili tosha kuwa mageuzi makubwa ya kimadili yanatekelezwa kikamilifu na CCM na watu ambao walikuwa wanakipa chama hiki dosari nyingi wataendelea kikimbia. Wana CCM msiwe na wasiwasi na uongozi uliopo wa CCM sasa hivi Tanzania tunapita kwenye mpito wa mageuzi ya kiuchumi na Inshaaalah tutafanikiwa.

Hizi Propoganda ya watu juu ya uchumi ni wale kwa sehemu kubwa ndio walioshiriki kulifikisha taifa hili hapa. Tanzania mpya inakuja isiokuwa na mafisadi, wakwepa kodi, wauza madawa ya kulevya.
Kidumu chama cha Mapinduzi.
Na kwakua kwa uchache wao walijimilikisha kila kitu cha sisi wote wanadhani basi mmoja wao akidondoka basi Tanzania nzima imeanguka; wanatia huruma...Katika wingi wetu tunaoamini katika utaifa bila vyama tupo gado na tutaipigania nchi yetu na kumuunga mkono yeyote anayebeba agenda za kitaifa...Kwa sasa sijamwona mwingine zaidi ya JPM nawala wasijejidanganya kuwa tupo wachache tupo wengi sana ndani na nje ya CCM...Kwetu taifa ni kubwa zaidi ya CCM!
 
A

Ame

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2011
Messages
3,357
Likes
668
Points
280
A

Ame

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2011
3,357 668 280
Hakuna msafi huko ukizingatia dereva ameingia kwenye usukani na nguo za gereji.

Najua hampendi kujua habari nyumba za serikali, wala kivuko cha 1978, wala bomberdia kuzuiliwa hizo ni habari safi na za kizalendo
Uchafu siyo kilema, kwaanaye weza kukubali uchafu akuondoa habakii kuwa mchafu; tatizo ni kwa wale ambao wanabadilisha nguo bila kuoga wakidhani nguo itafunika uvundo uliojaa mwilini..Hao ndiyo ambao wanakufa mauti ya pili...
 
Forum statistics

Threads 1,237,967
Members 475,809
Posts 29,308,179