Wana CCM wamtolea uvivu Dkt. Bashiru

Bashiru na Polepole walikula rushwa sana za wagombea ubunge wa CCM ili wawapitishe , mpaka rushwa za ngono za skina Paulina Gekul .
 
Lakini tunajua fika kuwa huyu bwana HAJI JUMAA ni Zungu la UNGA sasa tunategemea atawasemeaje hawa wajamaa wawili waliotuongoza?
 
CCM mlitegemea nini toka kwa mtu aliyekuwa akiwachambua kwa kuipendelea CUF wazi wazi? Mlidhani tonge litamfanya abadilike? Japo anaitwa mjamaa, Bashiru ni mchumia tumbo wa kawaida sawa na wale wote waliotelekeza taaluma zao na kujiingiza kwenye utapeli uitwao siasa.
 
Kunawatu walishinda lakini kwa nguvu ya 'kitu kidogo' hao nao vipi wangepitishwa tu? kisa wameshinda?
 
Bashiru alizuia upigaji ndani ya chama na hata kurudisha Mali za ccm ambazo ziliporwa na wachache ndani ya muda mfupi


Mali za trilio. Mmm


Acha achukiwr tu
 
Itakuwa vizuri sana kwa walaji wa habari tulio nje ya ccm ili kuyajua madhaifu ya Dr Bashiru
Aalimkata mwana mama aliyeongoza kura za maoni jimbo la babati mini, akaiweka small house yake na zaidi ikapata teuzi fulani na kutembelea vieitteee. Bashiru mtu mbaya sana.
 
Tunaposema kuwa Magu alikuwa dhalimu kuna watu walikuwa wanabisha. Aliyoyafanya Magu kwenye demokrasia ya nchi hii ni ushenzi wa hali ya juu. Watu wako kimya lakini yule mtu alikuwa ni shetani mkubwa.
kwahiyo leo kada aneongea unafiki au ya moyoni kwake!!!
unajua sisi wengine huwa tunawaambia acheni uzuzu.nyinyi ni watu rahisi sana kuhadaika.

nyarandu aliopokuja kwenu 2017 akionekana mkataa udhalimu,leo kaondoka kwenu mnamwita msaliti[emoji28][emoji28].

mnafanya siasa za vidudu,wapinzani wenu wanafanya za chup kikuu.
 
Jamaa waliamua kuupanda ubaguzi wa kikanda sasa unawatafuna
ccm ni ile ile,baada ya miaka hii minne utashangaa anapewa uwaziri.

nyinyi mnaendelea na kelele huki.
 
Alimkata Mhe. a. Chenge, Kangi Lugola, Chegeni na wengine wengi licha ya kuongoza kura za maoni.
 

Wengi wao wana hasira na chuki zisizokuwa na mashiko yoyote. Ni kwa sababu tu uhakiki wa mali za Chama aliousimamia Bashiru uliishia kwa hao vigogo wa Chama kunyang’anywa mali za Chama, ambazo walikuwa wamejimilikisha bila uhalali wowote!
 
Alimkata Mhe. a. Chenge, Kangi Lugola, Chegeni na wengine wengi licha ya kuongoza kura za maoni.
Bila huruma aliwakata wagombea ubunge Jimbo la shinyanga mjini wakiongozwa na Masele mwenye kura karibia 300 halafu akapewa nafasi mtu wa mwisho mwenye kura 7 (Patrobas Katambi).

CCM hoyeee! Lkn asilaumiwe Dk Bashiru bali mwendazake.
 
Wengi wao wana hasira na chuki zisizokuwa na mashiko yoyote. Ni kwa sababu tu uhakiki wa mali za Chama aliousimamia Bashiru uliishia kwa hao vigogo wa Chama kunyang’anywa mali za Chama, ambazo walikuwa wamejimilikisha bila uhalali wowote!
Kwani ccm hizo mali walimilikishwa nani mara baada ya nchi kuingia kwenye mfumo wa vyama vingi vya siasa?

Unapata wapi ujasili wa kuziita mali za watamzania kuwa ni mali za ccm?
 
ccm ni ile ile,baada ya miaka hii minne utashangaa anapewa uwaziri.

nyinyi mnaendelea na kelele huki.
Hayo ni maneno ya mipasho ya Hadija Kopa .
 
Nawe unaamini ule ulikuwa ni ushindi ?!. Jamani [emoji102]
 

Umeelewa hata nilichosema ama umekuja na matamanio yako? Tafuta popote nilipowahi kumsifia Nyalandu akiwa Ccm, na alivyokuja cdm, na sasa karudi ccm. Pitia nyuzi zangu wakati Nyalandu alipokuwa anaomba nafasi kugombea urais kupitia cdm kama niliwahi kumuunga mkono, zaidi ya kusema ni mchafu aliyekosana na Magufuli huko ccm. Sasa leo nitasemaje ni msaliti wakati hata uwepo wake cdm nilikuwa siuafiki? Kwangu mimi kurudi ccm kwa Nyalandu ni kuvuja kwa pakacha. Jitahidi unaponiquote usinijie na maoni ya bendera fuata upepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…