Wana CCM wamtolea uvivu Dkt. Bashiru

Wana CCM wamtolea uvivu Dkt. Bashiru

Mjumbe wa NEC mkoa wa Pwani, Haji Juma anasema machache juu ya madhaifu ya Dkt. Bashiru akiwa Katibu Mkuu CCM.

CCM ilikuwa kama nyumba ya udongo iliyopigwa ripu na rangi kwa nje lakini ndani ilikuwa bado ya udongo.

Alibadilika alipo pata madaraka na kuacha alichokuamini na kulinda maslahi yake binafsi na aliyemchagua.

Dkt. Bashiru alianza kukidhoofisha chama chetu ndani na kujenga makundi yenye hatari ya ukanda.

Katika uongozi wake vikao vya CCM vilitumika kama rubber stamp tu.

Katika uchaguzi uliopita wagombea wengi walioshinda uchaguzi wa ndani ya CCM walikatwa kwa wingi kuliko wakati wowote tangu CCM ianzishwe.

Robo ya wabunge wote waliopo bungeni hawakushinda chaguzi za ndani ya CCM.

Sasa huo utakatifu wa Dkt. Bashiru unatoka wapi?

Nina mengi sana ya kusema juu ya Dkt. Bashiru.View attachment 1771052
MROPOKAJI HAFAI KUWA KIONGOZI.
KWA MAADILI YA AJIRA MOJA YA SIFA YA KUTOPATA AJIRA KWENYE TAASISI MPYA NI KIITUHUMU VIBAYA TAASISI YAKO YA AWALI.
SO, KWA MWAKA 2020 WATU WOTE WALIOPITISHWA NI WALE AMBAO WANANCHI WANAWATAKA SIYO WALIONUNUA KURA.

DR. BASHIRU NDIYE KATIBU PEKEE AMBAYE AMEIFANIKISHA CCM KUSHINDA ZAIDI YA ASILIMIA 99 BARA.
KWA UJUMLA BILA BASHIRU CCM SIJUI LAKINI NINA UHAKIKA KUNA KITU BASHIRU AMEWAFUNDISHA. MNATAKIWA KUWEKEZA KWA WANANCHI SIYO KWENYE MATUMBO YENU.
VILEVILE WEKEZA KWENYE UTENDAJI WA MTU SIYO KI UKANDA.
Nb. R.I.P DR JPM,
 
Huo ni unafiki, Miongozo ya Uchaguzi CCM iko wazi, yeyote anayetafuta uongozi kwa kutumia utajiri wake, hukatwa. Dkt alijenga CCM imara na yenye nidhamu kuliko katibu mkuu yeyote.aliyewahi kutokea CCM. Sasa chama kimerudi mikononi mwa wapiga dili, subiri uone matokeo yake
 
Chadema bana nyie kweli ni super Nyumbu , sasa upinzani wenu ni dhidi ya Hayati, Bashiru au CCM!???

Maana ni kama mnashabikia mabadiliko ndani ya CCM pasipokujijua na kuanzisha nyuzi nyingi kuwaponda kina Bashiru, Hayati, Makonda nk

Ndio maana Lowassa aliwaambia hiki chama kama kina nia ya kushika dola inabidi kibadilike kutoka ktk siasa za uanaharakati
Wote, lakini ni mwendo wa kuchoma sindano mmoja mmoja
 
Waliochaguliwa waliwalisha wajumbe vya kutosha hiyo ndiyo demokrasia inayotakiwa ndani ya ccm.waliokosa fedha hata kama wanafaa wajumbe hawa kuwa chagua ndani ya wabunge ndiko wanakotoka wasaidizi wa rais, sasa kwenye ujinga wa kiasi hicho kwa nini uongozi usichukue hatua? Bashiru na jpm wako sawa.
 
.Kawaida ukitaka kuukata mti mkubwa unaanza kukata tawi moja moja na tumeshaanza kuwang'oa mtakwisha tu
Mmawia acha chuki utapasuka bure na unachukia kabia zima kisa JPM kachukua pesa unazoita zako ulizoficha kwenye diaba,wahuni nyie, kafa endeleeni kumsifia mama huku mnaiba JPM hakutaka kabisa ujinga.
 
Mwaga nyongo mzee kwani ikakaandani ni kama sumu rudia vizuri ukikazia zaidi unamwachia nani hayo mengine.
Alafu usisahau kuchomekea c mbaya kwani hata Nyerere baba wa taifa aliwai kuwaelezea hao watani zake kuwa.. fafanua tu yote.
watu walivumilia sn mateso ya dikteta
 
Huo ni unafiki, Miongozo ya Uchaguzi CCM iko wazi, yeyote anayetafuta uongozi kwa kutumia utajiri wake, hukatwa. Dkt alijenga CCM imara na yenye nidhamu kuliko katibu mkuu yeyote.aliyewahi kutokea CCM. Sasa chama kimerudi mikononi mwa wapiga dili, subiri uone matokeo yake
Sukuama gang kamwe hamuwezi kupongeza uongozi uliopo hilo linajulikana.

Aliyetoa hizo shutuma ni mwana ccm mwenzenu ambaye kimsingi anamfahamu vyema Bashiru
 
Mjumbe wa NEC mkoa wa Pwani, Haji Juma anasema machache juu ya madhaifu ya Dkt. Bashiru akiwa Katibu Mkuu CCM.

CCM ilikuwa kama nyumba ya udongo iliyopigwa ripu na rangi kwa nje lakini ndani ilikuwa bado ya udongo.

Alibadilika alipo pata madaraka na kuacha alichokuamini na kulinda maslahi yake binafsi na aliyemchagua.

Dkt. Bashiru alianza kukidhoofisha chama chetu ndani na kujenga makundi yenye hatari ya ukanda.

Katika uongozi wake vikao vya CCM vilitumika kama rubber stamp tu.

Katika uchaguzi uliopita wagombea wengi walioshinda uchaguzi wa ndani ya CCM walikatwa kwa wingi kuliko wakati wowote tangu CCM ianzishwe.

Robo ya wabunge wote waliopo bungeni hawakushinda chaguzi za ndani ya CCM.

Sasa huo utakatifu wa Dkt. Bashiru unatoka wapi?

Nina mengi sana ya kusema juu ya Dkt. Bashiru.View attachment 1771052
Kwanini haya yanaongewa sasa. Mbona hamkusema then. Ushauri wangu - kwa namna siasa za nchi zinavyo geuka nibora tukachunga ndimi zetu. Nani alijua kwa hakika SSH angekuwa Raisi, P Mpango angeluwa VP etc na ninahakika kulikuwa na watu walikuwa wanazengua siku za nyuma kwa kuona kwa nafasi zao si lolote.
Na log off
 
Usimuonee Bashiru.
Kwa masikio tulimsikia aliyekuwa Mwenyekiti akiwaambia watia nia,"Mim ndio Mwenyekiti, siku hiyo nikiamka vibaya sipitishi jina ata kama umepita kwa kula nyingi.
 
Wewe unataka watu wasiseme mapungufu ya Bashiru ?
 
Usimuonee Bashiru.
Kwa masikio tulimsikia aliyekuwa Mwenyekiti akiwaambia watia nia,"Mim ndio Mwenyekiti, siku hiyo nikiamka vibaya sipitishi jina ata kama umepita kwa kula nyingi.
Umesoma vizuri hiyo thread au umekimbilia kumtetea Bashiru?
 
Mmawia acha chuki utapasuka bure na unachukia kabia zima kisa JPM kachukua pesa unazoita zako ulizoficha kwenye diaba,wahuni nyie, kafa endeleeni kumsifia mama huku mnaiba JPM hakutaka kabisa ujinga.
Mimi siyo mwana ccm na nilichofanya ni kuliweka bandiko kama lilivyo maana aliye yaongea hayo madhambi yake ni NEC mwenzenu.
 
Jamani siasa hata mama mzazi akiwa mwana siasa sitakaa ni mwamini
 
MROPOKAJI HAFAI KUWA KIONGOZI.
KWA MAADILI YA AJIRA MOJA YA SIFA YA KUTOPATA AJIRA KWENYE TAASISI MPYA NI KIITUHUMU VIBAYA TAASISI YAKO YA AWALI.
SO, KWA MWAKA 2020 WATU WOTE WALIOPITISHWA NI WALE AMBAO WANANCHI WANAWATAKA SIYO WALIONUNUA KURA.

DR. BASHIRU NDIYE KATIBU PEKEE AMBAYE AMEIFANIKISHA CCM KUSHINDA ZAIDI YA ASILIMIA 99 BARA.
KWA UJUMLA BILA BASHIRU CCM SIJUI LAKINI NINA UHAKIKA KUNA KITU BASHIRU AMEWAFUNDISHA. MNATAKIWA KUWEKEZA KWA WANANCHI SIYO KWENYE MATUMBO YENU.
VILEVILE WEKEZA KWENYE UTENDAJI WA MTU SIYO KI UKANDA.
Nb. R.I.P DR JPM,
Hayo sisi hayatihusu , toaneni macho na hata meno tunacho kiamini ni maneno ya huyu Mnec wa pwani maana yeye ndiye anajua ukweli ulivyo ndani ya ccm.
 
Back
Top Bottom