Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 4,478
- 11,033
Chama chakavu mpaka sasa hakina dira
Sasa ndio naelewa kwa nini Laurent Kabila baada ya kuufurumusha utawala wa Mobutu alilifuta jina la zaire na kuriludisha jina la zamani Congo.Imekuwa kawaida viongozi wa CCM kupotosha ukweli kuhusu hoja ya Uhuru. Kwenye hotuba zao nyingi wamekuwa wakiiambia Dunia kwamba Tanzania ilipata uhuru tarehe 09/12/1961. Na hata tunaposherekea sikukuu ya Uhuru Naamini tutegemee kuendelea kusikia upotoshaji ukifantywa na wasomi wa Nchi hili.
Tarehe 9/12/1961 ninavyofahamu mimi hakukuwa na Tanzania. Tanzania ni matokeo ya muungano wa Nchi mbili huru ambazo ni Tanganyika iliyopata Uhuru 09/12/1961 pamoja na Zanzibar.
Kwa muktadha huo ni vyema Wana CCM watakupa ushahidi wa Tanzania kupata Uhuru au waamue kutubu na kutamka ukweli kwamba Tarehe 09/12/1961 ni Siku ya Tanganyika kupata Uhuru. Tuache ujanja ujanja wakijinga unaodumaza fikra zetu Kwa kivuli Cha uzalendo
Huyu Pascal Mayalla sina hakika kama alikuwa serious. Possibly hoja yake ilikuwa ni some sort of jokes...Mdogo wangu Paschal nimeona unaungana na hoja ya Uhuru wa Tanzania SIYO Tanganyika. Naomba utusaidie kujua mambo yafutayo;
1. 9/12/1961 kulikuwepo na Tanzania?
2. Je Tanganyika au Tanzania Bara imewahi kubadili jina ikajiita Tanzania? If yes,lini na kwa hati gani?
3. Tukisema Uhuru wa Tanzania tunamaanisha hata Zanzibar walipata Uhuru wao 9/12/1961?
4. Kama Zanzibar inatarehe yake yakupata Uhuru ambayo naamini ni siku ya Mapinduzi, tunasemaje Tanzania ilipata Uhuru mwaka 1961 tukijua kilichopata Uhuru ni sehemu tu ya Tanzania ambayo ni Tanganyika?
5. Kwa uelewa wako Mapinduzi ya Zanzibar yanaweza kutambua kama siku ya Uhuru ya Zanzibar?
6. Hoja Yako ya kusherekea ya Sasa ( present) umeitoa kwenye nyaraka gani?
Nauliza haya baada ya kuona mada zako zote zimeacha lakuna kwenye maeneo hayo: Nikutakie siku njema ya Uhuru wa Watanganyika
Huyu Pascal Mayalla sina hakika kama alikuwa serious. Possibly hoja yake ilikuwa ni some sort of jokes...
Kama ataitikia wito wa kuja kujibu maswali hayo, hebu tumwongezee na haya;
1. Baada ya muungano wa 26/4/1964 kati nchi mbili huru Tanganyika na Zanzibar, Tanganyika alibadilisha jina na kuanza kuitwa "TANZANIA BARA". Zanzibar mpaka leo hawakubali identity mpya ya kuitwa " TANZANIA VISIWANI" Bali siku zote wabebaki na original identity ya nchi yao yaani "ZANZIBAR" na watu wao wanajulikana kama "WAZANZIBARI" na kamwe siyo "WATANZANIA".
Unadhani ni kwanini hali hii iko hivi bwana Pascal Mayalla..?
2. Tunafahamu kuwa nchi ya TANGANYIKA ilipata uhuru wake wa bendera toka kwa waingereza tarehe 9/12/1961. Na vivyo hivyo tunafahamu kuwa nchi ya ZANZIBAR ilipata uhuru wake 12/2/1964. Na siku zote kwa Wazanzibari inapofika tarehe hii, husherekea kumbuizi la uhuru wao iitwayo " SIKU YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR"
Mbona sisi tunasherekea kumbuizi ya Uhuru wa nchi ambayo haikuwahi kuwepo inagalau kabla ya 1964..? Unadhani ni kwanini tunajirisha uongo na uzandiki...?
Kakojoe ulaleWajameni ni katika kukumbushana tuu kuwa maadhimisho ya leo ni ya Uhuru wa Tanzania, na sio wa Tanganyika!.
Nawatakia sikukuu njema ya Uhuru na Jamhuri.
Paskali
Hakika ni upotoshaji kiwango Cha lami.Imekuwa kawaida viongozi wa CCM kupotosha ukweli kuhusu hoja ya Uhuru. Kwenye hotuba zao nyingi wamekuwa wakiiambia Dunia kwamba Tanzania ilipata uhuru tarehe 09/12/1961. Na hata tunaposherekea sikukuu ya Uhuru Naamini tutegemee kuendelea kusikia upotoshaji ukifantywa na wasomi wa Nchi hili.
Tarehe 9/12/1961 ninavyofahamu mimi hakukuwa na Tanzania. Tanzania ni matokeo ya muungano wa Nchi mbili huru ambazo ni Tanganyika iliyopata Uhuru 09/12/1961 pamoja na Zanzibar.
Kwa muktadha huo ni vyema Wana CCM watakupa ushahidi wa Tanzania kupata Uhuru au waamue kutubu na kutamka ukweli kwamba Tarehe 09/12/1961 ni Siku ya Tanganyika kupata Uhuru. Tuache ujanja ujanja wakijinga unaodumaza fikra zetu Kwa kivuli Cha uzalendo
Unaonaje ukafanya mpango wa kuhamia kenya ?Unajua nikiiangaliaa hii nchi siipatiiii jibu sahihi
Kwa tafsiri kwamba;Nadhani hizi ni mathematics za ^proportionality & infinitesimals:^
T + Z = T (given Z B]
Tar 12/01/1964Huyu Pascal Mayalla sina hakika kama alikuwa serious. Possibly hoja yake ilikuwa ni some sort of jokes...
Kama ataitikia wito wa kuja kujibu maswali hayo, hebu tumwongezee na haya;
1. Baada ya muungano wa 26/4/1964 kati nchi mbili huru Tanganyika na Zanzibar, Tanganyika alibadilisha jina na kuanza kuitwa "TANZANIA BARA". Zanzibar mpaka leo hawakubali identity mpya ya kuitwa " TANZANIA VISIWANI" Bali siku zote wabebaki na original identity ya nchi yao yaani "ZANZIBAR" na watu wao wanajulikana kama "WAZANZIBARI" na kamwe siyo "WATANZANIA".
Unadhani ni kwanini hali hii iko hivi bwana Pascal Mayalla..?
2. Tunafahamu kuwa nchi ya TANGANYIKA ilipata uhuru wake wa bendera toka kwa waingereza tarehe 9/12/1961. Na vivyo hivyo tunafahamu kuwa nchi ya ZANZIBAR ilipata uhuru wake 12/2/1964. Na siku zote kwa Wazanzibari inapofika tarehe hii, husherekea kumbuizi la uhuru wao iitwayo " SIKU YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR"
Mbona sisi tunasherekea kumbuizi ya Uhuru wa nchi ambayo haikuwahi kuwepo inagalau kabla ya 1964..? Unadhani ni kwanini tunajirisha uongo na uzandiki...?
Ngoja Paskali aje 🤣🤣🤣Imekuwa kawaida viongozi wa CCM kupotosha ukweli kuhusu hoja ya Uhuru. Kwenye hotuba zao nyingi wamekuwa wakiiambia Dunia kwamba Tanzania ilipata uhuru tarehe 09/12/1961. Na hata tunaposherekea sikukuu ya Uhuru Naamini tutegemee kuendelea kusikia upotoshaji ukifantywa na wasomi wa Nchi hili.
Tarehe 9/12/1961 ninavyofahamu mimi hakukuwa na Tanzania. Tanzania ni matokeo ya muungano wa Nchi mbili huru ambazo ni Tanganyika iliyopata Uhuru 09/12/1961 pamoja na Zanzibar.
Kwa muktadha huo ni vyema Wana CCM watakupa ushahidi wa Tanzania kupata Uhuru au waamue kutubu na kutamka ukweli kwamba Tarehe 09/12/1961 ni Siku ya Tanganyika kupata Uhuru. Tuache ujanja ujanja wakijinga unaodumaza fikra zetu Kwa kivuli Cha uzalendo
Hujajibu hoja za mtoa mada mkuu. Acha kukimbia kivuli dadavuaWajameni ni katika kukumbushana tuu kuwa maadhimisho ya leo ni ya Uhuru wa Tanzania, na sio wa Tanganyika!.
Nawatakia sikukuu njema ya Uhuru na Jamhuri.
Paskali
Wanapotosha UMMA mwaka 1961 hakukuwa na Nchi inayoitwa TANZANIAImekuwa kawaida viongozi wa CCM kupotosha ukweli kuhusu hoja ya Uhuru. Kwenye hotuba zao nyingi wamekuwa wakiiambia Dunia kwamba Tanzania ilipata uhuru tarehe 09/12/1961. Na hata tunaposherekea sikukuu ya Uhuru Naamini tutegemee kuendelea kusikia upotoshaji ukifantywa na wasomi wa Nchi hili.
Tarehe 9/12/1961 ninavyofahamu mimi hakukuwa na Tanzania. Tanzania ni matokeo ya muungano wa Nchi mbili huru ambazo ni Tanganyika iliyopata Uhuru 09/12/1961 pamoja na Zanzibar.
Kwa muktadha huo ni vyema Wana CCM watakupa ushahidi wa Tanzania kupata Uhuru au waamue kutubu na kutamka ukweli kwamba Tarehe 09/12/1961 ni Siku ya Tanganyika kupata Uhuru. Tuache ujanja ujanja wakijinga unaodumaza fikra zetu Kwa kivuli Cha uzalendo
Sasa leo ni uhuru wa Tanganyika au Tanzania?Hakuna nchi inaitwa Tanzania Bara.
Tanganyika.Sasa leo ni uhuru wa Tanganyika au Tanzania?
Wajameni ni katika kukumbushana tuu kuwa maadhimisho ya leo ni ya Uhuru wa Tanzania, na sio wa Tanganyika!.