Hao wakina mama wanafiki wakubwa......
Tatizo lao ni elimu na kujitambua kuliko umasikini....
Mbona kwa waganga wa kienyeji wananunua mbuzi na kuku wanapeleka???
Au ni imani kuwa hospitali ni bure na ni kazi ya serikali.....
Bottom line ni kuwa sio wote wanaoenda hospitali za serikali
ni maskini kupita kiasi......
Ni mazoea tu.........
Halafu hao akina mama..
Hizo mimba walizipataje????
Hao wanaume waliowapa hizo mimba
hawana kazi kabisa??????
Walihongwa nini kabla ya kufungua miguu
yao kwa hiyari????
Mbona hizo khanga wanazovaa ni mpya mpya
na bei ya khanga moja sasa ni sh 5000/??????
Serikali ina mambo mengi ya kulaumiwa but sio
hao ya akina mama wa mjini......
Nitailaumu serikali kwa huduma za afya vijijini.
But hoa wa mwananyamala na amana na temeke.
Hell no.
Kwani lazima kuishi mjini na kuzaa kama uwezo huna???????
Nyongeza tu.....
Swala lisiwe kipato Europe yaani dunia ya kwanza ni matajiri wa kutupwa ukilinganisha na sisi WTZ mbona hawalipi kwenda kwenye hospitali zao? Serikali zao zimebeba jukumu la kutoa hiyo huduma kwa kukusanya kodi ndivyo ilivyo kwa serikali ya Tanzania.
Kama hawawezi kufanya hivyo wawaeleze walipa kodi kwamba hiyo kazi imewashinda.
kwa kweli mimi huwa ni mvumilivu sana lakini kwa upumbavu kama huu naweza kujikuta natukana.
sorry, hivi huyu anatafakari kwa kutumia miguu au kiuno, aaaaaahkk............ shit!!!!!!!!!
toka nimejiunga na JF sijawahi kukutana na thread ikanitoa machozi.. nalia...nalia...sina lakusema..lini nitaifurahia nchi yangu... naona giza nene mbele yangu....Wazungu wakitutukana sisi Manyani tusilalamike!Hawaamini kuwa tunaweza kusort out hili tatizo!Tuko tayari kununua Phd fake,kuendesha FWD ,na corruption./ufidadi etc!
Hata wakinamama Wabunge ndio hovyo kabisa.Mwanamke ana moyo,lakini no body cares plight ya wanawake wenzao hapa.CCM inanunua magari zaidi ya 200!
Hizi pesa zinaweza kununua vitanda,hata kujenga maternity wards !
Shame on me,shame on you ,i am sick to death watu wanalia crocodile tears kwa kifo cha Kawawa!
Niko tayari kutoa machozi kwa hawa akina mama watanzania wenzetu ambao hawana
uwezo!
Hao wakina mama wanafiki wakubwa......
Tatizo lao ni elimu na kujitambua kuliko umasikini....
Mbona kwa waganga wa kienyeji wananunua mbuzi na kuku wanapeleka???
Au ni imani kuwa hospitali ni bure na ni kazi ya serikali.....
Bottom line ni kuwa sio wote wanaoenda hospitali za serikali
ni maskini kupita kiasi......
Ni mazoea tu.........
Halafu hao akina mama..
Hizo mimba walizipataje????
Hao wanaume waliowapa hizo mimba
hawana kazi kabisa??????
Walihongwa nini kabla ya kufungua miguu
yao kwa hiyari????
Mbona hizo khanga wanazovaa ni mpya mpya
na bei ya khanga moja sasa ni sh 5000/??????
Serikali ina mambo mengi ya kulaumiwa but sio
hao ya akina mama wa mjini......
Nitailaumu serikali kwa huduma za afya vijijini.
But hoa wa mwananyamala na amana na temeke.
Hell no.
Kwani lazima kuishi mjini na kuzaa kama uwezo huna???????
Nina wasiwasi aliyekuloga wewe alishakufa. Milembe umetoka lini? Watu wengine bwana, yaani mnakera kwelikweli. Mamako alihongwa nini hadi akakuzaa wewe?
Yaani wewe inaonekana hata ngumbalo hukwenda. Hivi uwezo wa mtu unaweza kufanya lipi katika hali hiyo? Huyo mwenye uwezo ajizalishe? Unataka kusema huyo hahitaji daktari? Au kama ana uwezo alete kitanda chake hospitali? Na hiyo hela inayolipwa kwa ajili ya huduma anakula nani? Wewe habari ya kwenda kwa waganga wa kienyeji inaingiaje kwenye hilo? Lakini hatuwashangai nyie CCM, akili ni ileile tu kama Makamba vile. Mnapwayukapwayuka tu. Ushaharibu mood yangu leo.
Samahani kwa ku-qualify kauli yako kuhusu zahanati/hospitali za Binafsi nyingi kwanza majengo yake hayakujengwa kwa minaji ya kuwa vituo vya afya, hivyo hilo ni tatizo la kwanza, pili kutokana na uhaba wa mtaji wengi wao vifaa vyao sio standard or vye ubora unaotakikana , mfano wengi X-ray machine zao ni zile zilizokwisha tumika hivyo uwezo wake wa kutambua tatizo ni mdogo, vifaa vya kuchemshia sindano na nk ni vya kiwango hicho hicho cha chini , wauguzi walio ajiriwa kwenye dispensary za binafsi wengi ni wa kiwango cha chini nk nk.
Kuna watu wanaenda kwenye Hospitali za Binafsi kwenye Dr Bingwa/Mzuri lakini unakuta huduma nyingine ni tatizo.
Hao wakina mama wanafiki wakubwa......
Tatizo lao ni elimu na kujitambua kuliko umasikini....
Mbona kwa waganga wa kienyeji wananunua mbuzi na kuku wanapeleka???
Au ni imani kuwa hospitali ni bure na ni kazi ya serikali.....
Bottom line ni kuwa sio wote wanaoenda hospitali za serikali
ni maskini kupita kiasi......
Ni mazoea tu.........
Halafu hao akina mama..
Hizo mimba walizipataje????
Hao wanaume waliowapa hizo mimba
hawana kazi kabisa??????
Walihongwa nini kabla ya kufungua miguu
yao kwa hiyari????
Mbona hizo khanga wanazovaa ni mpya mpya
na bei ya khanga moja sasa ni sh 5000/??????
Serikali ina mambo mengi ya kulaumiwa but sio
hao ya akina mama wa mjini......
Nitailaumu serikali kwa huduma za afya vijijini.
But hoa wa mwananyamala na amana na temeke.
Hell no.
Kwani lazima kuishi mjini na kuzaa kama uwezo huna???????
nilichojaribu kusema ni kuwa
watu wachukulie kuwa afya zao ni muhimu
kuliko kununua khanga au hereni za dhahabu...
zipo dispensary nyingi za binafsi za bei nafuu.....
sio lazima kila mtu akasuburi huduma
ya bure mwananyamala au amana.
mimi binafsi nawajua wamama kadhaa ambao
wana uwezoa kwenda kwenye dispensary
za binafsi za bei nafuu,but wanaenda
hospitali za serikali kwa kila tatizo lao.
wapo kweli masikini wasio na uwezo
but sio wote,wengine ni mazoea ya
huduma za dezo.
tatizo ni kuwa kwa nini pesa yote hii itumike kujenga nyumba mbili za hawa magavana?
Amini amini nawambia kikwete akirudi madarakini atalifiksha taifa pabaya kuliko ben.