Wana CCM 3,500 wahamia CHADEMA huko Sengerema

Na bado....
Mi nataka majeshi wayahamishie Dodoma kwa wagogo kwa kuwa wale ndio mizigo pekee nchini
 
wakati ukifika, umefika! shida ni kwambas ccm wanadhani haya ni maigizo, wanaendelea kufanya ujinga. pia wanadhani labda kuna mtu fulani anawazunguka, jambo ambalo si kweli! walikuja na falsafa za kuvuana magamba na hawajafanya la pekee zaidi ya rostam kujiengua mwenyewe! sasa leo wananchi wanaporudisha kadi 3500 kwa siku moja na kutupa majoho waliyowapatia, wao wanadhani utani! mwisho wao umefika. kama nape, kikwete na wengine wameangalia japo kiduchu I.T.V LEO, watakuwa wamejifunza jambo! kama wapo na akili za kutosha, ila kama wamedumaa katika kufikiri na kupambanua mambo, ndo hivyo tena watafikiri kuna mwanga kumbe mwanga ni wao wenyewe!
naye OMARI NUNDU Ndio kachemka sanaaaaaaaaaaaa, na nina mashaka sana na utashi wake, haelewo kwamba utetezi wake mbele ya waandishi wa habari ndo umekosoa zaidi? ivi waziri wa namna hii anayepoteza kichwa namna hii alipataje madaraka! naibu wake anapofanya ujinga huo yeye alikua wapi au alichukua hatua gani? anataka kuwaeleza nini wa tz, huyu? serikali hiii mh! analia matatizo matatizo, hapo hapo hataki kujiuzulu! jamani anang'ang'ania nini huyu! namuunga mkono lowasa aliyesema serikali hiii inashindwa kuchuka maamuzi magumu, sasa wote ni mashuhuda.
haya jamani na raisi wetu aliyesema huu ni upepo tuu unapita alimaanisha nini?
 
na pale bado tegeme mabadiliko makubwa sengelema... wasukuma sasa wameamka, ngeleja alijifanya mungu mtu sanaaaa
Akihutubia Dr. Slaa na kuwashangaa wabunge wa CCM kwa unafiki wao hasa wanapopiga kelele lakini amesema waliotia saini kwa ZITTO ni 7 tu.
watu wamejiunga Chadema na kutupa kofia na nguo za CCM.

Kiukweli CCM hawana chao tena hapa nchini kuanzia 2015 kwa aliyeona ile habari awe shahidi mwema.

SOURCE: ITV HABARI USIKU HUU
 
Nahisi kunenepa kila siku...Mungu nipe maisha marefu nifike 2015, naamini hakuta kuwa na uchakachuzi, na kama watathubutu, Panga nimeshalinoa, linawaka pande zote...ole wao, ama zangu ama zao na watoto wao....kwa kasi hii halafu mwisho wa siku useme mtu alipigia kura ccm, nani atakuelewa? Tutamuomba Dr Silaa atuachie ulingo tupambane nao....najua kipindi hicho hakutakuwa na mwenye serikali, hata JK mwenyewe hatokuwa na nguvu sana kwani atakuwa anaondoka....na kama atajidai kuingilia, atakiona....
 
Watu wakihamia CDM wanasema wamejipima na kuamua kujivua gamba,sasa na wananchi nao wanajipima kwa lipi?
 
Bravo Chadema, ndo mkombozi wetu. Magamba yatavuka mwaka, Sipati picha, Pale Waziri mkuu atakapovuliwa gamba. Big up. Mungu yuko upande wetu. Peopleeeeeeeeeeees Power!!!!!

Na bado magamba mwaka huu ndo mwisho wao ****** kimya akamchinjia baharini mmasai
 
Akihutubia Dr. Slaa na kuwashangaa wabunge wa CCM kwa unafiki wao hasa wanapopiga kelele lakini amesema waliotia saini kwa ZITTO ni 7 tu.
watu wamejiunga Chadema na kutupa kofia na nguo za CCM.

Kiukweli CCM hawana chao tena hapa nchini kuanzia 2015 kwa aliyeona ile habari awe shahidi mwema.

SOURCE: ITV HABARI USIKU Tarehe 22.04.2012

mbona hakuna hata picha,kwanini?
 
Dr. Slaa anaiteketeza CCM kila kukicha..... Nasema
CCM inakufa mapema kuliko matarajio ya wengi... anakusanya watu wengi mnoooo.... Utafikiri kampeni... this is amazing.... na wanahamia CDM daily...
 
Mbona nasikia Dr. Slaa amevunja uongozi wa CDM huko Sengerema/Geita baada ya kushindwa kuwanyakuwa wanachama wa CCM?
 
Cku zote tumewazoea, Mtu akijiondoa mnamzushia jambo... Polisi nyinyi,Uhamiaji nyinyi, Mahakimu nyiyi yaaani mna vurugu hadi mnajivuruga sasa....
 
Ccm ni zaidi ya taasisi hata wahame wanachama wote bado itasimama imara na kuongoza
 
Back
Top Bottom