Wana CCM 3,500 wahamia CHADEMA huko Sengerema

Inaonekana somo walilopigwa liliingia ipasavyo, maana walivyokuwa wanarusha zile T-shirt za kijani na njano, walionekana kama watu waliozichoka kikomo, na kadi zilikuwa zikirejeshwa kama zina *****. Wakati wa mabadiliko umebisha hodi ndani ya mioyo ya watu.
 
Nashauri Nape awaangukie wale wazee aliowakandia baada ya kueleza kuwa CCM inakufa yeye akawajibu Kwa kejeli kuwa CCM itatawala milele. Angekuwa na busara kidogo angewatafuta ili wampe ushauri nini kifanyike baada ya wazee hao kuona mapungufu yaliyokuwepo. Kwasasa nahisi it is too late kwa Nape kurekebisha upepo huu usiozuilika.
 
Mungu wangu weeeeeeeeee siamini amini vile, najuuuta kukosa kuangalia taarifa ya habari. Ngoja nikodoe macho marudio ya taarifa kabla ya kulala
 
Mungu wangu weeeeeeeeee siamini amini vile, najuuuta kukosa kuangalia taarifa ya habari. Ngoja nikodoe macho marudio ya taarifa kabla ya kulala

Marudio huwa sà ngapi mkuu na mimi nijiridhishe?
 
naangalia mkanda wa Ukombozi wa SouthAfrica, Freedom is Comming tommorrow ya SARAFINA sasa ukombozi unakaribia morogoro
 
Nape hebu fanya sensa ya wanachama maana toka wimbi limeanza ni kama kila mtu anahamia CDM toka ccm. Umebakia wewe tu ambaye ccm ni baba na mama yako.

Je, Nape, Baba yako akiwa jambazi; mama yako akiwa mpika gongo utamuacha? :A S angry:
 
Harakati za dr.slaa kufichua mafisadi zilianza 2006, ila tu jamii haikupatakuelewa mapema, vinginevyo CCM ingekuwa pembeni leo. Lkn kuna umuhim wa kuelimishana hasa ndugu zetu wa vijijini, hata nyerere angefufuka leo angehamia CHADEMA tu! Hivi KIKWETE hajapata taarifa za CAG kuhusu mawaziri wake? Au mwenyewe hanapower za kuwaondoa mpaka watolewe na CHADEMA? Watanzania wakati ndo huu, tusipoamka leo, tutauza nchi kulipia deni lililo sababishwa na mafisadi wa CCM kupitia serikali hii ya ajabu.
 
Nimefurahi sana ile style ya wananchi kutupa kofia na Tshirts za CCM pale mbele.. Na nyingi zilikuwa na upya kama zilizotolewa sandukuni.. It's so moving guys.. Ule wakati wa wananchi kudanganywa kwa fulana.. kanga na kofia unafikia mwisho..
 
Akihutubia Dr. Slaa na kuwashangaa wabunge wa CCM kwa unafiki wao hasa wanapopiga kelele lakini amesema waliotia saini kwa ZITTO ni 7 tu. watu wamejiunga Chadema na kutupa kofia na nguo za CCM. Kiukweli CCM hawana chao tena hapa nchini kuanzia 2015 kwa aliyeona ile habari awe shahidi mwema. SOURCE: ITV HABARI USIKU HUU
"ETI" mwenyekiti wa halmashauri anadai hao waliohama wamekosa madaraka ndani ya CCM
 
quote_icon.png
By Kurunzi
Marudio huwa sà ngapi mkuu na mimi nijiridhishe?

Marudio ni saa 5 usiku

MKuu kwa ciku za Jumamoci na Jumapili ITV hawana marudio ya taarifa za habari hiyo saa tano.. Kwa hiyo kama unataka kuona itabidi uamke saa kumi na mbili asubuhi ndo wanarusha tena hiyo taarifa habari..
 
Na bado hadi watudishie paradiso yetu hawa magamba,kuna kiongoz mmoja Iraq nae alikuwa kama Nape.Kwa hiyo mwachen Nape aendelee na ndoto zake za kisanii hajui kuwa nyumba alkiomo inaondoka na mafuriko.
 
Nimefurahi sana ile style ya wananchi kutupa kofia na Tshirts za CCM pale mbele.. Na nyingi zilikuwa na upya kama zilizotolewa sandukuni.. It's so moving guys.. Ule wakati wa wananchi kudanganywa kwa fulana.. kanga na kofia unafikia mwisho..

Kuna ule mradi wa milioni 350 ambao aliuzungumzia aliyekuwa mjumbe wa kamati kuu alisema mradi wa mil 150 wametuambia wametengeneza soko la milion 300 akamalizia Pipoz....
 
MKuu kwa ciku za Jumamoci na Jumapili ITV hawana marudio ya taarifa za habari hiyo saa tano.. Kwa hiyo kama unataka kuona itabidi uamke saa kumi na mbili asubuhi ndo wanarusha tena hiyo taarifa habari..

Asante mkuu lazima niamke kuna kitu sijakinukuu sawasawa pale kwenye milion 350.
 
Natamani uchaguzi mkuu ungekuwa mwezi Julai kwani CDM tungekuwa tumemaliza Kampeni wakati Mazezeta wa CCM wanaoneana aibu kusafishana kule Dodoma
 
Back
Top Bottom