Wana CCM 3,500 wahamia CHADEMA huko Sengerema

Wana CCM 3,500 wahamia CHADEMA huko Sengerema

Dr. Slaa anaiteketeza CCM kila kukicha..... Nasema
CCM inakufa mapema kuliko matarajio ya wengi... anakusanya watu wengi mnoooo.... Utafikiri kampeni... this is amazing.... na wanahamia CDM daily...

True Pilon this is beyond the scene!
 
Ccm ni zaidi ya taasisi hata wahame wanachama wote bado itasimama imara na kuongoza

Ni hoja ila ujue kama taasisi yenu inalijua hili haihitaji kuwa juu ya sheria.
Hatima ya CCM iko mwa wana CCM wenyewe.
Upepo tu unapita dharau gani hizo?
 
wabunge wa ccm hawana hobby ya utatuzi wa matatizo ya wananchi, hawa ni miongoni mwa wabunge wa ccm kama walivyokutwa na mpiga picha wetu weekend hii mkoani DODOMA

523989_223673504408436_100002973633374_396840_462363560_n.jpg
 
Ni hoja ila ujue kama taasisi yenu inalijua hili haihitaji kuwa juu ya sheria.
Hatima ya CCM iko mwa wana CCM wenyewe.
Upepo tu unapita dharau gani hizo?
wamelewa madarakA mkuu, si umesikia wanaikulu wamekanusha kama kawaida yao. Unakumbuka lile sakata la posho ya wabunge alipoona nchi inawaka akasema hakuidhinisha, ina maana Spika & PM walidanganya na kumsingizia Mkuu wa Kaya, sasa mbona hawakuchukuliwa hatua kwa kumsingizia Mkuu wa Kaya.

Walisema Ngeleja kaibomoa CDM Sengerema kumbe walikuwa waongo naona sasa imeongeza wanachama. CCM waangalie hali ni mbaya. Lkn ili ufalme uanguke ni lazima ufitinike ndani kwa ndani, na sasa dhambi ya wizi wa kura wanayofanyiana wao kwa wao sasa inawala
 
wamelewa madarakA mkuu, si umesikia wanaikulu wamekanusha kama kawaida yao. Unakumbuka lile sakata la posho ya wabunge alipoona nchi inawaka akasema hakuidhinisha, ina maana Spika & PM walidanganya na kumsingizia Mkuu wa Kaya, sasa mbona hawakuchukuliwa hatua kwa kumsingizia Mkuu wa Kaya.

Walisema Ngeleja kaibomoa CDM Sengerema kumbe walikuwa waongo naona sasa imeongeza wanachama. CCM waangalie hali ni mbaya. Lkn ili ufalme uanguke ni lazima ufitinike ndani kwa ndani, na sasa dhambi ya wizi wa kura wanayofanyiana wao kwa wao sasa inawala

Yani kitendo cha kutoa kanusho kwa gazeti kimenifanya niamin JK HAKUWAZA DEEP akajua ni ishu ya kawaida kumbe ni hot than his thoughts.
Na bado!
 
hata uku umekuja kutuchefua?We nape.... we dont like you!! sooner or later nawe utajikuta umehamia CHADEMA-where People's power is!! chezea peoplez pawa wewe!!!
 
Ccm ni zaidi ya taasisi hata wahame wanachama wote bado itasimama imara na kuongoza

Sasa nani ataongoza kama wanachama wote wakihama? Ulikuwa umekunywa nini wakati unaandika haya maneno yako ya ajabu?
 
kwa kweli ccm wameshindwa kabisa kusoma alama za nyakati .. mpaka sasa picha inajionyesha lakin wanashindwa kufikiri hata kudiriki kuchukua hatua wanaamin ni mazingaombwe.. watu wamechoka na watu wanaanza kuchukua maamuzi .

chadema moto chini
 
Hao walikuwa wamepewa wiki moja tu ya kulipa madeni yao au kufukuzwa ndani ya chama kwa7bu ya kutolipia kadi za uwanachama kwa miaka 6 kwa hivyo wametupunguzia mzigo.

source: Nape, Dodoma.
This comment from Nape must be a very expensive joke!!! Duh!
 
Angalieni mporomoko huu wa CCM kwa wapiga kura:

[TABLE="width: 0, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="colspan: 5"][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="colspan: 3"][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]Matokeo ya kura za Ubunge jimbo la Arumeru Mashariki 2005
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[TABLE="class: grid, width: 100%"]
[TR]
[TD="colspan: 6"]MANISPAA YA ARUMERU
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 6"]ARUMERU MASHARIKI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Photo
[/TD]
[TD]Candidate
[/TD]
[TD]Party
[/TD]
[TD]Sex
[/TD]
[TD]Valid Votes
[/TD]
[TD]%
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]View Photo
[/TD]
[TD]SOLOMON SUMARI JEREMIA
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]M
[/TD]
[TD]58,357
[/TD]
[TD]79.6
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]No Photo
[/TD]
[TD]CPT ELIAHU NASARI BOB
[/TD]
[TD]CHADEMA
[/TD]
[TD]M
[/TD]
[TD]12,037
[/TD]
[TD]16.4
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]No Photo
[/TD]
[TD]ANTHONY KIMUTO YOHANE
[/TD]
[TD]TLP
[/TD]
[TD]M
[/TD]
[TD]830
[/TD]
[TD]1.1
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]No Photo
[/TD]
[TD]SULEIMAN MPUTTA ABDULLAZIZ
[/TD]
[TD]CUF
[/TD]
[TD]M
[/TD]
[TD]790
[/TD]
[TD]1.1
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]No Photo
[/TD]
[TD]BETHWELL JEREMIA SIKAWA
[/TD]
[TD]DP
[/TD]
[TD]M
[/TD]
[TD]667
[/TD]
[TD]0.9
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]No Photo
[/TD]
[TD]LAURENT KASAMBALE JOSEPHER
[/TD]
[TD]NLD
[/TD]
[TD]F
[/TD]
[TD]368
[/TD]
[TD]0.5
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]No Photo
[/TD]
[TD]ZEPHANIA MULWISHA MULWISHA
[/TD]
[TD]UDP
[/TD]
[TD]M
[/TD]
[TD]278
[/TD]
[TD]0.4
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[TD]Valid Votes 73,327
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[TD]Spoilt Votes 3,037
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[TD]Registered Voters 102,587
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Matokeo ya kura za Ubunge jimbo la Arumeru Mashariki 2010
[TABLE="class: grid, width: 100%"]
[TR]
[TD="colspan: 4"]
WILAYA YA MERU
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 4"]ARUMERU MASHARIKI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Candidates
[/TD]
[TD]Political Party
[/TD]
[TD]Number of Votes
[/TD]
[TD]Percentage Votes
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]SUMARI JEREMIAH SOLOMON
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]34,661
[/TD]
[TD]62.23
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]JOSHUA SAMWEL NASARI
[/TD]
[TD]CHADEMA
[/TD]
[TD]19,123
[/TD]
[TD]34.33
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]JOHN YESAYA PALLANGYO
[/TD]
[TD]CUF
[/TD]
[TD]265
[/TD]
[TD]0.48
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]LINDA PENIELI BANA
[/TD]
[TD]JAHAZI ASILIA
[/TD]
[TD]176
[/TD]
[TD]0.32
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]FANUEL GABRIEL PALLANGYO
[/TD]
[TD]TLP
[/TD]
[TD]88
[/TD]
[TD]0.16
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]CHARLES MOSES MSUYA
[/TD]
[TD]UPDP
[/TD]
[TD]88
[/TD]
[TD]0.16
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]SPOILT VOTES
[/TD]
[TD]
[/TD]
[TD]1,297
[/TD]
[TD]2.33
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]TOTALS
[/TD]
[TD]
[/TD]
[TD]55,698
[/TD]
[TD]100
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Matokeo ya kura za Ubunge jimbo la Arumeru Mashariki 2012

[TABLE="class: grid, width: 100%"]
[TR]
[TD="colspan: 4"]

WILAYA YA MERU
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 4"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 4"]ARUMERU MASHARIKI
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Candidates
[/TD]
[TD]Political Party
[/TD]
[TD]Number of Votes
[/TD]
[TD]Percentage Votes
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]SIOI SUMARI
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[TD]26,757
[/TD]
[TD]44.08
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]JOSHUA SAMWEL NASSARI
[/TD]
[TD]CHADEMA
[/TD]
[TD]32,972
[/TD]
[TD]54.32
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]AFR
[/TD]
[TD]139
[/TD]
[TD]0.23
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]DP
[/TD]
[TD]77
[/TD]
[TD]0.13
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]NRA
[/TD]
[TD]35
[/TD]
[TD]0.06
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]SAU
[/TD]
[TD]22
[/TD]
[TD]0.04
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
[/TD]
[TD]UPDB
[/TD]
[TD]18
[/TD]
[TD]0.03
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]TLP
[/TD]
[TD]18
[/TD]
[TD]0.03
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]SPOILT VOTES
[/TD]
[TD]
[/TD]
[TD]661
[/TD]
[TD]1.09
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]TOTALS
[/TD]
[TD]
[/TD]
[TD]60,699
[/TD]
[TD]100.00
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Futa kaul yako ndugu yangu huoni aibu? Je ccm itaongoza vp wakat wananchi wanakimbia? Soma alama za nyakati ndugu
Ccm ni zaidi ya taasisi hata wahame wanachama wote bado itasimama imara na kuongoza
 
Yaani 2005 una 79.6%, 2010 una 62.23% na 2012 una 44.08% kwa watu wale wale!
 
CCM ni BAHARI kina wanachama zaidi ya milioni 6, kukimbiwa na wahuni 3,500 siyo kukauka kwa CCM
 
CCM ni BAHARI kina wanachama zaidi ya milioni 6, kukimbiwa na wahuni 3,500 siyo kukauka kwa CCM

Hiyo ni complacency, ambayo ndio sababu kubwa ya kuporomoka kwa chama. matatizo yapo, mnakataa kuyatafakari. Wanachama 6m ni figure ya lini?

Acceptance is the first step to solving a problem.
 
Nasikia raha sana, tunamuomba Slaa apite hapa Musoma!!
 
Back
Top Bottom