Wamisri wa kale walikuwa weusi(Africans)

Bado wapo wanaitwa Aborigines.... DNA yamtu mweusi haifutiki..Ni DNA ya mungu
Ila hawa waarabu ambao kimsingi ndio wa kwanza kumfanya mwafrika mtumwa,walifanya unyama wa kutupwa kwa kuamua kuwahasi wanaume wootee waliokua wanatumikishwa huko,lengo lao ni kua asiweze kuchanganya damu na wanawake zao wa kiarabu ila pale Zanzibar hawa waarabu walibaka kabisa dada zetu wa Kibantu ili wawazalishe.
 
Inginia na master mind myahudi....
 
Zamani watu walitambulika kwa koo zao sio rangi.Wazungu walifuta koo wakapandikiza kutambuana kwa rangi hivyo kupoteza asili ya koo hizo.Hivyo no mean of recognising people for their colour you may not know who is exactly belong to.
Asante ndugu....lakini Koo zipo Tena ukizi traceuna kuta kulikuwa naumoja mkubwa wa kidugu nadamu bara la Africa kablayamipaka yaberlini
 
Na hata hiyo walioita New World iligogunduliwa na Columbus,mtu mweusi alikua ashafika huko kitambo tu.Hivi mtu atasema asili ya wahindi weusi ni wapi??

Kuna kitabu kinaitwa They were here before Columbus cha Dr Ivan Van Sertima kaongea haya sana!
Alialikwa hadi kwenye American Congress mwaka 1987 kuyazungumzia haya na hadi ikapelekea vitabu vingi kubadilisha msemo wa Columbus kugundua Bara la Marekani....
 
bukoba boy ,
Prof Cheikh Anta Diop was the best we ever had!
Vipi umemsoma Dr Ivan Van Sertima ni mtu wa Guyana ???
Ameandika kwa kirefu sana kuhusu watu weusi kuanzia Carthage hadi Mesoamerica!!!
Yeah man nimemsoma,nawasomaga hawa watu mpaka watu wanasema ninakua wa ajabu na mambo ya ajabu ajabu ya kusema Waafrika ndio waliojenga Misr...Tatizo letu Watanzania wa kisasa hatutaki kabisa kusoma Historia yetu,na wengi wao wanaijua historia ya Waafrika baada ya Berlin Conference na anything prior to that they claim "they were in total darkness".
 
Napenda nasaha ya Bruce Lee pia Ndugu
 
Zamani watu walitambulika kwa koo zao sio rangi.Wazungu walifuta koo wakapandikiza kutambuana kwa rangi hivyo kupoteza asili ya koo hizo.Hivyo no mean of recognising people for their colour you may not know who is exactly belong to.
Dr hiyo point yako Ni kuu mno...ndio wakavunja ukuhani...nakuficha maana yake..kumbe alikuwa mfalme ama mkuu was Koo zote...ama peraa
 
Zamani watu walitambulika kwa koo zao sio rangi.Wazungu walifuta koo wakapandikiza kutambuana kwa rangi hivyo kupoteza asili ya koo hizo.Hivyo no mean of recognising people for their colour you may not know who is exactly belong to.

Aliyeupaisha huu mchezo wa kuwagawa watu kwa rangi ni Mwanasayansi wa Ujerumani anaitwa Johann Friedrich Blumenbach.
 
Fantasia you have crucial messages to tell us.Don't get mixed up with other stuffs. Concentrate and focus on our story and our history, our culture and our heritage, our spirit and our spirituality as black People. Focus on Truth and truth alone.
Fantasia Ni mkali mno...lakini ana hasira Sana....na ulimi mkali....mumsamehe Yule mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…