Wamiliki wa nyumba kwa kutopangisha wasiooa mnazingua

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,218
39,048
Hivi nyie wamiliki wa nyumba mmekuaje? Kwa hili mnazingua sana shida yenu ni pesa au??

Toka last week nahangaika sehemu ya kupanga, nimenda almost sehem 3 eti mwenye nyumba anakwambia hapangaishi kwa vijana ambao hatujaoa sasa sisi tuna nini?

Kwamba hatulipi kodi??. Maendeleo hayana chama hivi ndo huu utararibu upya umeanza au?
 
Tafuta nyumba za mabaharia wenzako hawana hizo
 
Nyie vijana ambao hamjaoa huwa mna tabia za kishenzi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…