Wamiliki wa magari wazidi kuumizwa

Wamiliki wa magari wazidi kuumizwa

……kuna mpya ambayo sijaiona kokote , ,eti uki purchase kitu supemarket inabidi ulipie na mfuko utakao fungiwa ulichonunua , wote sasa tutahamia dukani kwa mangi ukinunua chumvi ya shilingi mia tano anakuwekea kwenye mfuko bila ya kukuomba mia ya mfuko

ahaaa ndio maana ukibakisha chenchi yenye sarafu, utapewa noti na kwenye sarafu utawaskia hatuna chenchi! kumbe indirect purchase.
 
sasa cha ajabu...mi nimenunua third party UAP na hawana fiscal receipt..yani inaenda na receipt ya kawaida tu...wamewaambia hawa watu walipishe VAT wkt unaweza kuta hawana efd machines
 
Tatizo TRA hawana ubunifu wa kubuni vyanzo vipya vya mapato....wao wanajua kukusanya kwenye magari na mishahara tu....

Huku sehemu nyingine zikipeta
 
Tatizo TRA hawana ubunifu wa kubuni vyanzo vipya vya mapato....wao wanajua kukusanya kwenye magari na mishahara tu....

Huku sehemu nyingine zikipeta

Siku hizi kama unakunywa bia halafu una gari ni maumivu tupu
 
……kuna mpya ambayo sijaiona kokote , ,eti uki purchase kitu supemarket inabidi ulipie na mfuko utakao fungiwa ulichonunua , wote sasa tutahamia dukani kwa mangi ukinunua chumvi ya shilingi mia tano anakuwekea kwenye mfuko bila ya kukuomba mia ya mfuko

Hiyo ni kupunguza matumizi ya mifuko ya plastiki kwani utalazimika kutumia mfuko mmoja kwa muda mrefu au unakuwa na mfuko wako maalum kwa ajili ya shopping. Wenzetu huko Uingereza hii ni kawaida.
 
Ni nchi ya majuha tu ndio wananchi watalalamika kulipa kodi.

....ni kwavile JF ni jukwaa huru na kila mwanachama halali ana haki ya kuchangia bila kuvunja taratibu kanuni na masharti ya jukwaa....!!! Lakini mchango wako una maana kiasi gani hicho ni kitu kingine
 
Kwa swala la bima nyie acheni tuu wapandishe asa comprehessive,watu wanasumbua jamani.acheni tuu
 
……kuna mpya ambayo sijaiona kokote , ,eti uki purchase kitu supemarket inabidi ulipie na mfuko utakao fungiwa ulichonunua , wote sasa tutahamia dukani kwa mangi ukinunua chumvi ya shilingi mia tano anakuwekea kwenye mfuko bila ya kukuomba mia ya mfuko

Hiyo ipo kwenye baadhi ya nchi huko ughaibuni. Mara ya kwanza kukutana nayo nilishangaa sana, ilikuwa kasupermaket kadogo kakiitwa VALINTANTALO kapo katika Jiji la Tampere kule Finland. Ah mbona nilijifunza na kuzoea kutunza mifuko yangu na kwenda nayo tena Supermarket siku nyingine ili kukwepa gharama
 
Nchi yetu hii, naipenda. Kuna amani. Fanya ufanyacho tutakuangalia tu
 
Tax is important for the development of our nation #say no to tax evasion#
 
Ninavyoelewa hiyo 18% imeongezwa kwenye comprehensive tu
 
Back
Top Bottom