Wamiliki wa BMW Shikamooni

Kuna siku nilikuwa na dereva wa ofisini tunatoka sheli flani ipo Njiro sie tumo kwenye Rav 4 pembeni ipo X5 wote wanabaniana kuingia road, ikabidi nimwambie dereva wetu we emu ona aibu basi acha GARI ipite
 
Spear for all European cars

Ni kweli, ila tatizo huanza pale unapoambiwa pair ya mbele ya shockup tu ni million moja. Na unatakiwa ununue seti ya mbele na nyuma. Za nyuma sababu ni Air suspensio unaambiwa mitungi yake pair ni 2M!

Hapo ndipo wale wazee wa Aichi Plant na Toyopet wanapoibuka kidedea 😂😂😂
 
Hapo ndipo wale wazee wa Aichi Plant na Toyopet wanapoibuka kidedea
lazima utoke baru
 
Ni kweli, ila tatizo huanza pale unapoambiwa pair ya mbele ya shockup tu ni million moja. Na unatakiwa ununue seti ya mbele na nyuma. Za nyuma sababu ni Air suspensio unaambiwa mitungi yake pair ni 2M!

Hapo ndipo wale wazee wa Aichi Plant na Toyopet wanapoibuka kidedea 😂😂😂
ndio maana wananchi wa uchumi wa kati wanapenda Carina TI pair ya shockup haifiki laki 2.... hahahah
 
alafu hapo ni bei ya mkoani huko mjini "daslam" unaweza pata hata kwa laki aisee
Ukiingiza 2M kwenye maintanance ya Toyota Carina maana yake utakuwa ume replace almost 70% ya components. Bushings, Shockups, Disc brakes, Drum brakes (shoes), Mounting, Lubrication za engine, Gearbox,Diff. Utabadili dead bulbs bila kusahau usafi wa hali ya juu wa ndani na bodyworks za nje. Gari inakuwa kama mpya kabisa 😂😂😂
 
Kweli wachaga wanaijua pesa Kuna Doctor 1 wa surgery anapiga hadi milioni kumi kwa mwezi ana x5 kaipaki ndani tu. Carina TI ndo anapigia misele na deals zake nilidhani n tapeli wa mjini kumbe doc kweli. Carina injini inashushwa na kupigwa overhul kwa mia 5-6 tu,, gari ya kujifunzia sana ile roho ya paka kama vitz 'oldi modeli' hahaha
 
I own one BMW X3 E83, Kama hujawai endesha hizi gari au kupanda for long trip hutokaa uelewe. Kila kitu kizuri kina gharama, ila ukilimiliki kwa heshima hizo gharama hazitokusumbua. Tatizo tulilonalo bongo nikutokuwa na mafundi wa uhakika. Na fundi akisha kuona na bimmer anaanza kuweka bei zisizo za msingi. Spares sio issue tena kwa ulimwengu wa sasa.

Guys, German beast is next level, your driving while smilling. Usijaribu kufanananisha na Toyota
 
Shida BMW is the least reliable brand among German luxury car makers na ndiyo maana depreciation yake kama mtu amerusha jiwe. It as premium as a Mercedes or Audi.
Acha kufananisha Benz, Audi na ushuzi mwengine hapo Berlin!
 
Nimeshajizoelea kununua oil filter ya gari za Japan 10,000-15,000,sasa najiuliza hivi gari kama BMW oil filter yake inaendaje...?...
 
Back
Top Bottom