Naombeni mwenye ujuzi wa gari ya BMW Xi Ile ya 1590cc

primaquin

Senior Member
Apr 27, 2014
133
63
Wakubwa habari!
Naombeni mwenye ujuzi wa gari ya BMW Xi Ile ya 1590cc in terms of
1.fuel economy
2.durability/resilience
3.price yake
4.za manufacturing year zipi ni nzuri zaidi
 
Una uhakika unazungumzia BMW X1?

BMW X1 ina matoleo matatu.

E84 2010 mpaka 2015

F48 2016 mpaka 2022

U11 2023 na kuendelea

Sijajua bajeti yako ila toleo la B48 na U11 bei zake zitakuwa siyo mchezo.

Pia toleo la B48 na U11 yana options za 1.5L engine na siyo 1.6L

Toleo la kwanza yaani E84 engine ndogo ni 2.0L

Halafu mjerumani anatengeneza gari zake kwa ajili ya Prestige na efficiency. Hivyo fuel consumption hata siyo kitu cha kujadili sana hata uikute engine ya 2500Cc hasa kwa engine za sasa.

Ukishaanza 3000Cc kidogo ndio unaweza shtuka. japo na yenyewe safari ndefu inaconsume vizuri (kutegemeana ipo kwenye body gani).

Gari ni durable kama utaweza kuifanyia preventive maintenance za kutosha. mfamo cooling system pekee ina seals 20+ na maplastic kibao.

ukikaa ukajisahau ukaendesha tu, ikianza kukusumbua hakuna rangi utaacha kuona.
 
Nahisi anazumzungumzia series 1

Anyway ngoja arudi athibitishe kama ni series 1 or X1
 
Una uhakika unazungumzia BMW X1?

BMW X1 ina matoleo matatu.

E84 2010 mpaka 2015

F48 2016 mpaka 2022

U11 2023 na kuendelea

Sijajua bajeti yako ila toleo la B48 na U11 bei zake zitakuwa siyo mchezo.

Pia toleo la B48 na U11 yana options za 1.5L engine na siyo 1.6L

Toleo la kwanza yaani E84 engine ndogo ni 2.0L

Halafu mjerumani anatengeneza gari zake kwa ajili ya Prestige na efficiency. Hivyo fuel consumption hata siyo kitu cha kujadili sana hata uikute engine ya 2500Cc hasa kwa engine za sasa.

Ukishaanza 3000Cc kidogo ndio unaweza shtuka. japo na yenyewe safari ndefu inaconsume vizuri (kutegemeana ipo kwenye body gani).

Gari ni durable kama utaweza kuifanyia preventive maintenance za kutosha. mfamo cooling system pekee ina seals 20+ na maplastic kibao.

ukikaa ukajisahau ukaendesha tu, ikianza kukusumbua hakuna rangi utaacha kuona.
Asante mkuu
 
Mkuu em mpe tips za series 1 kwanza ameshakili kuwa amekosea
 
Wakubwa habari!
Naombeni mwenye ujuzi wa gari ya BMW Xi Ile ya 1590cc in terms of
1.fuel economy
2.durability/resilience
3.price yake
4.za manufacturing year zipi ni nzuri zaidi
BMW kama unanunua used basi isizidi miaka 5. Ila ninachoweza kukushauri tu achana na BMW kama huna uwezo wa kuinunua mpya. Used itakusumbua tu,tun mafundi wachache sana wanaozijua hizongari kwa hapa Bongo. Spare siyo tatizo unaweza kuagiza muda wowote ule tatizo letu kubwa Bongo ni mafundi. Mafundi wengi ni wababaishaji.
 
Back
Top Bottom