Wamiliki wa BMW Shikamooni

Kwa experience yangu ya kua fundi wa european cars hasahasa(bmw,benz).
Bmw ni magari mazuri sana yakiwa mapya lakini ukipata used litakusumbua sana kwa service kutokana kuharibika haribika,german cars are overengineered hivo tatizo dogo tu linazingua gari.wengi wanaweza ku afford kununua ila sio kulitunza.

Mtu anaemiliki german car ambalo linatembea barabarani mpe heshima yake maaana linamcost
In short we call them money pit as they age..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ukiwa mwalimu wa secondary unaweza kumiliki hivi vitu au inabidi ukimbie mtaani kusaka mapema kuna walimu nawaona hata Vits hawana wala IST.

Portfolio | 2020
 
Kulikuwa na jamaa mmoja anaitwa Regumalira, mmoja Kati ya wale wezi wa Bilioni za kiTanzania 1.2 waliokamatwa, moja Kati ya mahari aliyofanikiwa kuyanunua na kiyamiliki japo kwa wiki moja tu ni BMW, hakika naye alipata heshima huko Mbagala.
 
*TANGAZO* .

kama una rafiki yako ametokea Moshi na Gari *BMW white namba T223 DPU*

Majina
1. Mohammed Laseko(CRDB)
2. Dorine Mitimingi(CRDB)
3. Ainess

Walikuwa wanatokea kwenye Kili Marathon.
Gari yao imegonga treni hapa Mombo, na gari imeharikiba sana. Vitu vyao vimepotea watakuwa hawapatikani kwa simu.Wamevunjika miguu,
Wamepelekwa hospital. Dereva yupo chini ya ulinzi.

Mwenye ndugu mfike Mombo polisi....

Jr
 
Haya magari mazuri sana,ukiyazoea hata toyota unayaona ya kiboya ila sasa likizingua.
Garage yalikua linakuja benzi limepita kwa kila fundi dar na limewashinda.imagine hela unayo ya kutengeneza gari lako la kifahari na halitengenezeki tena tatizo la kawaida tu.
Mkuu, sasa hapo ni tatizo la gari au tatizo lenu mafundi ?.
 
BMW ni afadhali kiasi fulani

Mercedec Benz ipo higher end zaidi

Katika normal competitors models Mercedes Benz ni twice ya bei ya BMW kwenye same bracket!

BMW ni even fairer zaidi wanatumia middle class,Mercedes Benz ni even lethal price range wise!

Benz imeizunguka BMW mara mbili kwa sophistication na bei!

Benz huzioni sana third world countries maana wenye akili timamu na hela serious ndio wanazo,na ni middle and far aged rich males ndio wanazo na wanajua urefu wake!
Kwa hiyo unathibitisha kwamba kijana mdogo hawezi kuimiliki Benz sio ?.
 
Back
Top Bottom