Wamiliki TV Watishia Kuzima Mitambo ya Digital

Wamiliki TV Watishia Kuzima Mitambo ya Digital

Naye Mkurugenzi Mkuu wa Sahara Media Group na mmiliki wa Kituo cha Star Tv, Samwel Nyalla alisema hivi sasa wanaendesha biashara hiyo kwa hasara.

MMLIKI WA SAHARA MEDIA GROUP NA STAR TV SI ANTHONY DIALLO AU ZIPO MBILI WAUNGWANA NAOMBA JIBU?
Lini huyu NYALLA NDIO MMILIKI AU DIALLO KAFULIA?
 
Bora wazime tutumie tu mfumo wa zamani!!! Kwa kweli ving'amuzi vyenyewe having'amui full kukwamakwama tunakosa kweli haki zetuuu aaah


Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
mie napita tu wala sijui nchi inakwendaje mradi napata mahitaji muhimu hayo mengine hayanisumbui
 
Back
Top Bottom