Wametuulia -- Jamaa Wana Roohooo Mbaya Hao

ila wadada mna hatari sana.. yaani miaka 21 unapewa dili la kumnasa jamaa kamacambo unakubali.. na sia ajabu walimdanganya hawana nia ya kumua jamaaa... na baada ya kumuua wakamuua na binti ili kupoteza ushahidi walijua binti angevujisha siri...

so kabla hajalipwa hela yake ya kazi wakamuua na yeye..... mtoto wa miaka 21 wa kike anacheza dili za kimafiaa... mtu kama huyu akifika 40 si itakuwa hatarii
Tamaa zinawaponza vijana...sasa hapo ukute aliona kawiiin...
Mtoto mdogo sana huyu..sijui ht km alikua anasoma au vipi..
 
Incomplete info.

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
ila wadada mna hatari sana.. yaani miaka 21 unapewa dili la kumnasa jamaa kamacambo unakubali.. na sia ajabu walimdanganya hawana nia ya kumua jamaaa... na baada ya kumuua wakamuua na binti ili kupoteza ushahidi walijua binti angevujisha siri...

so kabla hajalipwa hela yake ya kazi wakamuua na yeye..... mtoto wa miaka 21 wa kike anacheza dili za kimafiaa... mtu kama huyu akifika 40 si itakuwa hatarii
Kama ni kweli alikubali kuwa chambo cha kumnasa jamaa basi amevuna alichokipanda
 
  1. Huyu kauawa pamoja na yule IT wa Tume ya Uchaguzi Mkuu Kenya, inaaminiwa alikuwa chambo ya kumnasa jamaa, walipofanikisha na yeye wakamtoa roho
Ahsante mkuu kwa ufafanuzi mzuri

sent from my iPhone 8
 
Km taarifa za kweli bora kafa huenda amesababisha wengi kufa au angesababisha wengi kufa. Nenda kaungue na moto wa Jehanamu
 
ila wadada mna hatari sana.. yaani miaka 21 unapewa dili la kumnasa jamaa kamacambo unakubali.. na sia ajabu walimdanganya hawana nia ya kumua jamaaa... na baada ya kumuua wakamuua na binti ili kupoteza ushahidi walijua binti angevujisha siri...

so kabla hajalipwa hela yake ya kazi wakamuua na yeye..... mtoto wa miaka 21 wa kike anacheza dili za kimafiaa... mtu kama huyu akifika 40 si itakuwa hatarii
Hiyo miaka 40 ataifikishia wapi mkuu??? Au unadhani amezimia

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Tamaa zinawaponza vijana...sasa hapo ukute aliona kawiiin...
Mtoto mdogo sana huyu..sijui ht km alikua anasoma au vipi..

nimecheki youtube tv za kenya hakuwa chambo... inasemekana huyu binti ni mchepuko wa jamaa for almost a year wapo pamoja.... hata siku hiyo aliaga kwa dada yake kwamba anaenda outing na jamaa for a drink.. binti alikwa mwanachuo chuo cha afya akisomea nutrition,, na alitegemewa ku graduate december mwaka huu

so hakuwa chambo ni mtu na demu wake sema haijulikani kama walitekwaje na kwenda kuuwawa.. maana gari ya jamaa imepatikana 40km imepak toka walipouwawa.. maana yake walitekwa na kupakiwa gari ya wauaji
 
Ila jamaa nae walimpata kutokana na udhaifu wake,nasikia alikuwa womenizer sana,Halafu huyu binti jina lake halisi ni Maryanne sasa sijui alibadili jina ili amnase vizuri huyu Baba.RIP Mary.
 
Ukila kubali kuliwa, majasusi hawajawahi acha mtu salama kwenye skendo km hiyo
 
At age of 21, jamani inasikitisha sana; tunakuombea kwa Mungu!! (RIP) Beautiful Carol Ngumbu. too sad kwa kweli.

carolngumbu.jpg

carol1_0.jpg

NGUMBU.jpg

carolshariff.jpg

pic+girls.jpg

caro-musago-1024x768.jpg

Carol-Sharif-Ngumbu6-696x696.jpg

Carol-Sharif-Ngumbu2-696x928.jpg

Carol-Sharif-Ngumbu4.jpg

Carol-Sharif-Ngumbu.jpg

She was Chelsea FC fun - Lah!!

Sahihiaho mkuu anaitwa Maryanne Wairimu Ngumbu.
 
Vitoto vya chuo hatari sanaaaaa.... bora uwe na mchepuko gume gume..
 
nimecheki youtube tv za kenya hakuwa chambo... inasemekana huyu binti ni mchepuko wa jamaa for almost a year wapo pamoja.... hata siku hiyo aliaga kwa dada yake kwamba anaenda outing na jamaa for a drink.. binti alikwa mwanachuo chuo cha afya akisomea nutrition,, na alitegemewa ku graduate december mwaka huu

so hakuwa chambo ni mtu na demu wake sema haijulikani kama walitekwaje na kwenda kuuwawa.. maana gari ya jamaa imepatikana 40km imepak toka walipouwawa.. maana yake walitekwa na kupakiwa gari ya wauaji
Uh..!!!!
 
Aseehh ukitaka POWER siku zote you can do the unforgivable to meet the needs,... INAITWA POWER of POWER,
 
ila wadada mna hatari sana.. yaani miaka 21 unapewa dili la kumnasa jamaa kamacambo unakubali.. na sia ajabu walimdanganya hawana nia ya kumua jamaaa... na baada ya kumuua wakamuua na binti ili kupoteza ushahidi walijua binti angevujisha siri...

so kabla hajalipwa hela yake ya kazi wakamuua na yeye..... mtoto wa miaka 21 wa kike anacheza dili za kimafiaa... mtu kama huyu akifika 40 si itakuwa hatarii
Bora hata walikaondoa mapema maana kangefikisha 40 kangekuwa kameangamiza wengi.
 
Hizi tricks za kuwatumia warembo hutumiwa sana na Majasusi.
Vifo vingi vya kutatanisha, watu hufa kwa kutegeshewa kwa warembo wakali.
Warembo hutumika kijasusi nje na hata ndani ya nchi kwa kutekeleza mpango flani.
Aliyepanga naye kapangiwa njama.
Malipo ni hapa hapa.
Mungu akuweke unapostahili binti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom