ila siku hizi manzi waanza enterpreneurship wakiwa na age ndogo na hawaogopi mega projects, RIP CaroPoleni chelsea fans wote mnaokaa mitaa hii pacha ya kona bar.
Ila mkuu why kwenye jukwaa hili? Si ungepeleka kule jukwaa la sport kwa chelsea au habari mchanganyiko? Maana nimeingia kwa nguvu kweli nikascroll chini hadi jasho linanitoka ila nikakosa nilichokuwa nakitafuta.
mbona unaenda ovyo wewe hujaweka sababu ya kupelekea mauti yake, au labda mwanachama wa jf au member wa hili jukwaa au ndugu au vipiAt age of 21, jamani inasikitisha sana; tunakuombea kwa Mungu!! (RIP) Beautiful Carol Ngumbu. too sad kwa kweli.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Binti mdogo wa 21 unagewa deal la kumnasa mme wa mtu na unakubali?mbona unaenda ovyo wewe hujaweka sababu ya kupelekea mauti yake, au labda mwanachama wa jf au member wa hili jukwaa au ndugu au vipi
una test mitambo nini??
Mnhhhhh.... Saadd...
- Huyu kauawa pamoja na yule IT wa Tume ya Uchaguzi Mkuu Kenya, inaaminiwa alikuwa chambo ya kumnasa jamaa, walipofanikisha na yeye wakamtoa roho
Duh!!!
- Huyu kauawa pamoja na yule IT wa Tume ya Uchaguzi Mkuu Kenya, inaaminiwa alikuwa chambo ya kumnasa jamaa, walipofanikisha na yeye wakamtoa roho
Dah aise watu ni wanyama nowdays kas kwamba unaweza hata kupishana na simba dunia hii ya sasa na asikufanye kitu lakini binadamu ....
- Huyu kauawa pamoja na yule IT wa Tume ya Uchaguzi Mkuu Kenya, inaaminiwa alikuwa chambo ya kumnasa jamaa, walipofanikisha na yeye wakamtoa roho