Wametuulia -- Jamaa Wana Roohooo Mbaya Hao

Wametuulia -- Jamaa Wana Roohooo Mbaya Hao

Kama binti mwenyewe ndio huyu aaghhh basi hakukua na jinsi, hata kama ni mimi ningefia kwenye kidonda tu, kafa na utamu wake
 
hizi ndizo gharama za kupenda mtelezo

Sent From Ikulu-Magogoni street
 
Usimhuzunikie sana, Kwa sababu amevuna alichopanda!

Steve Jobs - Giant Of Technology.
 
  1. Huyu kauawa pamoja na yule IT wa Tume ya Uchaguzi Mkuu Kenya, inaaminiwa alikuwa chambo ya kumnasa jamaa, walipofanikisha na yeye wakamtoa roho
Ohoooooooo R.I.P aisee.
Ila uliyepost hizo picha ujue kunawatu huwa wana missuse unaweza kukuta mtu kachukua hizo picha akaenda kutengebezea acc kule badoo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  1. Huyu kauawa pamoja na yule IT wa Tume ya Uchaguzi Mkuu Kenya, inaaminiwa alikuwa chambo ya kumnasa jamaa, walipofanikisha na yeye wakamtoa roho
aaaah kama ni hivyo walifanya kazi nzuri
 
ila wadada mna hatari sana.. yaani miaka 21 unapewa dili la kumnasa jamaa kamacambo unakubali.. na sia ajabu walimdanganya hawana nia ya kumua jamaaa... na baada ya kumuua wakamuua na binti ili kupoteza ushahidi walijua binti angevujisha siri...

so kabla hajalipwa hela yake ya kazi wakamuua na yeye..... mtoto wa miaka 21 wa kike anacheza dili za kimafiaa... mtu kama huyu akifika 40 si itakuwa hatarii

Atafikaje wakati tayari kesha uawa!!!!!
 
Back
Top Bottom