tutafika tuu tujipe moyo ss tunatambaa wao wanapaa ssi tupo dar es salam kwa mtogole tunaelekea kigoma mahali walipo alafu tunatambaa wao wana paa sijui tutawakuta ......?
Kweli kabisa hasa kama una imani thabiti,lakini kwa jinsi tulivyoharibika na jinsi tunavyozidi kuharibu mpaka raslimali za vizazi vyetu, kufika huko ni ndoto isiyoweza kutimia.Ni sawa na wewe unapoota unapaa angani kama ndege,je kiuhalisia unadhani itatokea siku utakapoweza kupaa angani kama unavyopaa ndotoni..??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.