Watu wenye rangi nyeupe wametuacha mbali kifikra

Under-cover

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2023
Posts
2,211
Reaction score
3,524
MIMI NDIO TAJIRI WATOTO WANGU WATAFUTE PESA ZAO

Nyota wa zamani wa #NBA , #ShaquilleRashaunO'Neal amewachana watoto wake sita kuwa Pesa alizonazo na Utajiri alionao sio wao bali ni wa kwake hivyo na wao wajitafutie pesa zao.

Mpaka sasa #Shaq anakadiriwa kuwa na utajiri wa zaidi ya Sh.Trilioni 1 na anaamini kuwa pesa hizo amezitafuta yeye na sio watoto wake kauli yake kwa watoto wake ni "Sisi sio Matajiri, Mimi ni Tajiri" kauli ambayo watoto wake hawapendezwi nayo.
 
Shaq O'nel ana watoto sita.
Myles.
Shareef.
Amirah.
Shaqir.
Me'arah.
Taahirah.
watoto sita ni wengi kawapa changamoto kila mtoto apambane.
 
MIMI NDIO TAJIRI WATOTO WANGU WATAFUTE PESA ZAO

Nyota wa zamani wa #NBA , #ShaquilleRashaunO'Neal amewachana watoto wake sita kuwa Pesa alizonazo na Utajiri alionao sio wao bali ni wa kwake hivyo na wao wajitafutie pesa zao.

Mpaka sasa #Shaq anakadiriwa kuwa na utajiri wa zaidi ya Sh.Trilioni 1 na anaamini kuwa pesa hizo amezitafuta yeye na sio watoto wake kauli yake kwa watoto wake ni "Sisi sio Matajiri, Mimi ni Tajiri" kauli ambayo watoto wake hawapendezwi nayo.
Akili za waarabu ziko primitive sana !!
kinachowasaidia hawakuachia Tamaduni za tawala zao!!

Si tukajifanya na democracia 😂😂😂Viko wap
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
hizi kauli zipo sana. Watoto mzigo wataupata tu. Kwa mwny akili anakomaa mwnyw akae sawa hku mzee anampa sapoti mdogo mdogo. Ni challenge in positive way. Wengine tumepita humo. Wazee wanapiga mikwara msijisahau. Lakini nia ni kukujenga utafute vyako. Akifa mali bado utachukua tu.
 
ni kweli wengine huwa wanajisahau kabisa na kusubiri baba afe wao warith, na wengine huenda mbali zaidi na kufanya mipango ya kumuua mzee ili wapate urithi mapema.

kwa hivyo hiyo ni kuwapa challenge wasilale lakini wachakarike ili kutafuta utajiri wao wenyewe na kuzionea uchungu fedha walizotafuta.
 
Back
Top Bottom