Wametuacha mbali.....

maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
11,143
15,130
1546396_589870364435719_76843299_n.jpg


1530437_589870204435735_1483175902_n.jpg


1530405_589870164435739_1860332773_n.jpg


1499534_589870107769078_746466288_n.jpg
 
tutafika tuu tujipe moyo ss tunatambaa wao wanapaa ssi tupo dar es salam kwa mtogole tunaelekea kigoma mahali walipo alafu tunatambaa wao wana paa sijui tutawakuta ......?
 
Mi naamini tutafika kama Tanzania kwani hatukua hapa. Other thing remain constant
 
Lisilowezekana kwa wanadamu kwa Mungu linawezekana


Kweli kabisa hasa kama una imani thabiti,lakini kwa jinsi tulivyoharibika na jinsi tunavyozidi kuharibu mpaka raslimali za vizazi vyetu, kufika huko ni ndoto isiyoweza kutimia.Ni sawa na wewe unapoota unapaa angani kama ndege,je kiuhalisia unadhani itatokea siku utakapoweza kupaa angani kama unavyopaa ndotoni..??
 
Isee, labda wao walale kama miaka 200 na sisi tufanye kazi kwa nguvu zote, wakiamka tutakua hapo
 
Mwaka wa sisi kuifikia hali hii nadhani wenzetu watakuwa washagundua hata anaoishi Mungu na watakuwa wanapiga naye pool table tu!!
 
Back
Top Bottom