Wapi huko? mahakamani?Why indefinite hairisho? Angalau hata kusema after 14 days ya kisheria!
Mh? Haya
Kadata huyo jamaa 😂.Sijakupata mdau.. hebu funguka kidogo
Aibu ya uovu na mbinyo wanje / ndani kwa maneno rahisi ni kuwa vinaumana kweli kweli!Sijakupata mdau.. hebu funguka kidogo
Hakika..Aibu ya uovu na mbinyo wanje / ndani kwa maneno rahisi ni kuwa vinaumana kweli kweli!
Majaji leo kesi ya Lisu... indefinite hairishoSijakupata mdau.. hebu funguka kidogo
Yes....Lisu indefinite hairishoWapi huko? mahakamani?
Au wapi
Meanse haijatajwa tarehe?Yes....Lisu indefinite hairisho