Wameshindwa kulinda mgombea mbele ya polisi watano wataweza kulinda kura mbele ya jeshi? Wamepewa maneno wakagonga tano wakaondoka zao

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
12,276
Reaction score
38,847
Haya matapeli banah. Yameenda mbele ya geti la tume wakakutana na polisi hata nyota moja hana. Huyu polisi akaanza kuwaambia sijui mshenga sijui barua. Mara si mnaongea tu yanaisha?

Wakaitika ndiyo mzee wakagonga tano na huyo polisi wakaondoka zao. Ila mgombea wao ndiyo kakatwa hivyo.

Sasa hawa wameshindwa kulinda mgombea mbele ya polisi watano wataweza kulinda kura mbele ya jeshi?

Si wangehamasishana nchi nzima wajae pale tume wahakikishe mgombea wao anatangazwa?

Sema yalipokuwa yanasaini zile karatasi huku yakitunanga yalijua kuwa oktoba haitafika. Walijiona wana mdomo sana sasa kimewakuta wanalilia tu mitandaoni.
 
picha
 
Bora hawa jamaa kuliko wale CHADEMA wako hopeless kabisa
 
hivi form hawezi mgea mwingine? aliyekataliwa ni mpina makamu wake sianaweza gombea pekeyake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom