Wameongezeana posho huko dodoma.(picha) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wameongezeana posho huko dodoma.(picha)

Discussion in 'Jamii Photos' started by John W. Mlacha, Jun 27, 2012.

 1. J

  John W. Mlacha Verified User

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,516
  Likes Received: 523
  Trophy Points: 280
  Madaktari wanataka hii hali isiwepo..ila hawasikilizwi..anayeumia ni nani?
  [​IMG]
   
 2. J

  John W. Mlacha Verified User

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,516
  Likes Received: 523
  Trophy Points: 280
  kwanza hizo neti ninazoziona hapo wanatumiaje wote?
   
 3. MDAU JR

  MDAU JR JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 392
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ila kiukweli wabongo wanajituma, I can c hao wote ni..........duh! danger very very.
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,002
  Likes Received: 3,578
  Trophy Points: 280
  mkuu hii ni hatari akijamba mmoja wapo hapo si itakuwa balaa chumba chote si kitaharibika kwa harufu mbovu!!!!!!!!!!!!!! .Mkuu Black Bat
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,898
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  sinta hama ccm maisha yangu yote.
  hiki chama kinatetea wanyonge,kimepigana mpaka chenchi ya rada ikarudi,kinakusanya tr 8 kinatumia 10,kinapunguza ukubwa wa serikali na kinakopa nje kwa maslahi ya taifa.
   
 6. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,034
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 135
  Fahari wawili wakigombana ziumiazo ni nyasi,

  Lakini pamoja na hayo huo mshahara wanaoudai ni mkubwa mno..!!!
   
 7. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 6,912
  Likes Received: 694
  Trophy Points: 280
  Kweli kuzaa ni shughuli!
   
 8. Ngangasyonga

  Ngangasyonga JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 13, 2010
  Messages: 457
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni mateso sana kwa mama zetu, wanaweza kupata magonjwa ya mlipuko!!
   
 9. B

  Baniani Mzuri Senior Member

  #9
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Hao hao kina mama wakipewa kanga tu utawaona wanavyo galagala chini wakishabikia magamba na kuwapa kura
   
 10. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #10
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,490
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Ukidai hali hiyo iishe,wanamteka ulimboka. Serikali hii cna!
   
 11. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #11
  Jun 28, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Bila shaka watakapwolipwa millioni sita kwa mwezi bila shaka serikali itapata fedha ziada ya kuondowa hali hii. Tanzania na masilahi binafsi kupitia migongo ya wananchi basi tena!
   
 12. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #12
  Jun 28, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 8,538
  Likes Received: 2,159
  Trophy Points: 280
  Wakitoka hapo wakipewa kanga za nusu uchi za KTM wanaipa kura CCM.
   
 13. I

  IWILL JF-Expert Member

  #13
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 297
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Na alaaniwe aliyenzisha Chama Cha Mapinduzi.
   
 14. p

  papillon Senior Member

  #14
  Jul 1, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 120
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ni mwenye heri, atakuwa mtakatifu not so long. Na nijuavyo manesi wetu hapo wanaporomoshewa matusi wakisubiri kujifungua
   
 15. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #15
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,878
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Halafu hao kina mama ni damu damu na ccm, wakati wa kura husahau shida zao zote na kuikumbatia ccm kwa mikono miwili.
   
 16. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #16
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 4,765
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Dua la kuku.....!
   
 17. andate

  andate JF-Expert Member

  #17
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 2,655
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kweli Tanzania inahitaji mageuzi haraka iwezekanavyo.
   
 18. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #18
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 3,121
  Likes Received: 1,375
  Trophy Points: 280
  Nahisi Nyerere anajigeuza kaburini kwake akisikia hii kauli yako!
   
 19. MDAU JR

  MDAU JR JF-Expert Member

  #19
  Jul 1, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 392
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wakaishapata kanga na vilemba vya kijani na nyie waume zao mashati ya kijani, hapo tena baaasi!
   
 20. m

  mwana wa africa JF-Expert Member

  #20
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 462
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  hizo mosquito net zitatumikaje?
   
Loading...