Wameongezeana posho huko dodoma.(picha)

Wameongezeana posho huko dodoma.(picha)

Mbona kama heading (thread) na michango ya wadau haviendani???????
 
Wakitoka hapo wakipewa kanga za nusu uchi za KTM wanaipa kura CCM.

We ndo umenena ndugu yangu,yan me hpo 2 ndo wanaponikera!!wakishapewa tshirt na khanga baasi wanasahau shida zote walizozipata na watakazozipata tena..

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom