Wameongezeana posho huko dodoma.(picha)

Wameongezeana posho huko dodoma.(picha)

John W. Mlacha

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2007
Posts
3,504
Reaction score
1,342
Madaktari wanataka hii hali isiwepo..ila hawasikilizwi..anayeumia ni nani?
IMG_8413.JPG
 
Ila kiukweli wabongo wanajituma, I can c hao wote ni..........duh! danger very very.
 
sinta hama ccm maisha yangu yote.
hiki chama kinatetea wanyonge,kimepigana mpaka chenchi ya rada ikarudi,kinakusanya tr 8 kinatumia 10,kinapunguza ukubwa wa serikali na kinakopa nje kwa maslahi ya taifa.
 
Fahari wawili wakigombana ziumiazo ni nyasi,

Lakini pamoja na hayo huo mshahara wanaoudai ni mkubwa mno..!!!
 
Ni mateso sana kwa mama zetu, wanaweza kupata magonjwa ya mlipuko!!
 
Hao hao kina mama wakipewa kanga tu utawaona wanavyo galagala chini wakishabikia magamba na kuwapa kura
 
Ukidai hali hiyo iishe,wanamteka ulimboka. Serikali hii cna!
 
Madaktari wanataka hii hali isiwepo..ila hawasikilizwi..anayeumia ni nani?
IMG_8413.JPG

Bila shaka watakapwolipwa millioni sita kwa mwezi bila shaka serikali itapata fedha ziada ya kuondowa hali hii. Tanzania na masilahi binafsi kupitia migongo ya wananchi basi tena!
 
Ila kiukweli wabongo wanajituma, I can c hao wote ni..........duh! danger very very.
Halafu hao kina mama ni damu damu na ccm, wakati wa kura husahau shida zao zote na kuikumbatia ccm kwa mikono miwili.
 
Halafu hao kina mama ni damu damu na ccm, wakati wa kura husahau shida zao zote na kuikumbatia ccm kwa mikono miwili.

Wakaishapata kanga na vilemba vya kijani na nyie waume zao mashati ya kijani, hapo tena baaasi!
 
Back
Top Bottom