Rimoti Iko msogaNiliwahi kuingizwa cha kike, nikachomekewa mwanamke, nikaingia kichwa kichwa! Nikaambulia na aibu ya mwaka, kuwafuata walioniletea msala wakanikimbia!
Wamemchomekea akasaini mikataba thenashara mara tatu kasoro 4. Mmoja tu uliovuja umeshaleta taharuki kubwa sana, haufai haufai haufai, vipi hiyo mingine 31 ya siri? Inasemaje? Itavuja lini? Itasambazwa lini? Masharti yake ni yapi nk?
Kwa mtazamo wa haraka sana hiyo mingine 31 haina tofauti na huu wa 32, labda kwenye eneo husika; Miundo mbinu reli, Miundo mbinu airports, Miundombinu barabara, Miundombinu mawasiliano, Kilimo, Ufugaji, Maliasili madini, Maliasili misitu, Maliasili mbuga, Maliasili utalii, Maliasili maeneo ya kihistoria, Kodi, Utawala, Siasa, Elimu, Imani, Mingine siifahamu[emoji3064]/
Master mind wa hii mipango wapo lakini hawajitokezi waziwazi, ;wanasukuma gari kwa nyuma mbele huwaoni ila unaona gari linasonga; Likikosea njia, Likifanya ajali, Likivunja sheria, lawama ni kwake kwakuwa ndio wamemuweka kwenye usukani, lakini hawezi kuwazoom hata kwenye sight mirror maana wako nyuma ama kwenye blind spot!
Wamemuingiza pabaya hawezi kuchomoa ama kuchomoka na hawezi kulazimisha la sivyo ama zake ama zao! Ameshika kwenye makali, wameshika kwenye mpini.
Kumkoma nyani jiladi! Muda pekee ndio utaokoa ama kuzamisha jahazi la kudra za mwenyezi Mungu mweza wa yote!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ni 'jiladi' au giladi? Nimekusoma ujue.Kumkoma nyani jiladi!
Inasemwa ni mwepesi kupitia document haraka sana ....iweje hiyo 37 Ashindwe kuzipitia nakuelewa kwa wepesi?....hakutakuwa....
Acha inyeshe tuone panapovuja…
Yanatumika yote mawili tafsiri ni ileileHivi ni 'jiladi' au giladi? Nimekusoma ujue.
Maybe this time.....![emoji848][emoji2827]Maandamano ni juma tano ni trh 19 au hamjaona huko twitter nasikia kumbekucha huko insta ka mange kamepost.
Save the date jun 19th
Na wamepunguza idadi ya kamera uwanjani pia taa zinazo waka ni chacheVAR haitaruhusiwa kwenye mtanange huo, maamuzi yote yatatolewa na refa wa mchezo huo, AKifuata tearms and conditions 18 za KABUMBU
Umeweka mawazo yangu.Niliwahi kuingizwa cha kike, nikachomekewa mwanamke, nikaingia kichwa kichwa! Nikaambulia na aibu ya mwaka, kuwafuata walioniletea msala wakanikimbia!
Wamemchomekea akasaini mikataba thenashara mara tatu kasoro 4. Mmoja tu uliovuja umeshaleta taharuki kubwa sana, haufai haufai haufai, vipi hiyo mingine 31 ya siri? Inasemaje? Itavuja lini? Itasambazwa lini? Masharti yake ni yapi nk?
Kwa mtazamo wa haraka sana hiyo mingine 31 haina tofauti na huu wa 32, labda kwenye eneo husika; Miundo mbinu reli, Miundo mbinu airports, Miundombinu barabara, Miundombinu mawasiliano, Kilimo, Ufugaji, Maliasili madini, Maliasili misitu, Maliasili mbuga, Maliasili utalii, Maliasili maeneo ya kihistoria, Kodi, Utawala, Siasa, Elimu, Imani, Mingine siifahamu[emoji3064]/
Master mind wa hii mipango wapo lakini hawajitokezi waziwazi, ;wanasukuma gari kwa nyuma mbele huwaoni ila unaona gari linasonga; Likikosea njia, Likifanya ajali, Likivunja sheria, lawama ni kwake kwakuwa ndio wamemuweka kwenye usukani, lakini hawezi kuwazoom hata kwenye sight mirror maana wako nyuma ama kwenye blind spot!
Wamemuingiza pabaya hawezi kuchomoa ama kuchomoka na hawezi kulazimisha la sivyo ama zake ama zao! Ameshika kwenye makali, wameshika kwenye mpini.
Kumkoma nyani jiladi! Muda pekee ndio utaokoa ama kuzamisha jahazi la kudra za mwenyezi Mungu mweza wa yote!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mange hana moral authority!!! Sana anafanya sabotage ya maana halisi ya haki kutendeka!! Na hafanyi hivyo kwa makosa yawezekana ni pre-planned eventsMaandamano ni juma tano ni trh 19 au hamjaona huko twitter nasikia kumbekucha huko insta ka mange kamepost.
Katiba yetu safi kama ya Marekani. Usitubeze!Huyu mama hakua na sifa ya kua kiongozi hata wa nyumba 10 achilia udiwani eti gafla ni kiongozi mkubwa wa nchi.
Inawezekana Tanzania huko mbinguni ni kituo cha vichekesho/commedy.
Kwa afirika kiongozi aliwahi kupatika Mandela kaunda ghadaff walio salia wote bora hata ya joisi banda wa malawikiukweli, unahitaji kuwa na imani yenye kiasi cha kubomoa milima, kuamini kwamba mwanamke anaweza kuwa kiongozi bora. si kwa africa hii.
Inasikitisha.. !!Niliwahi kuingizwa cha kike, nikachomekewa mwanamke, nikaingia kichwa kichwa! Nikaambulia na aibu ya mwaka, kuwafuata walioniletea msala wakanikimbia!