Wamemuingiza cha jiji halafu wanejitenga naye!

Yale mambo aliyosema JK labda yaharibike sana nadhani ndio yamechaharibika sasa akae tu pembeni alinde heshima kidogo aliyokua anapewa
 
Ukitaka kumuua nyani.........
 
Daaaaah.


Pumzikakwa amankamanda JOHN POMBE
Hawa wapuuzi kina Mshana Jr kila siku walikuwa wanakesha humu kumpinga, kebehi na kumtukana Magufuli kwenye kila maamuzi aliyokuwa anayachukua hasa yenye maslah na Taifa hili.
Mwisho wa siku walifurahi kwa kunywa na mbuzi choma baada yakufanikisha kifo chake.
Wakaja na mapambio ya anaupiga mwingi. Ukiwapinga kidogo wanakuita 'sukuma gang"JF ni hadhina kumbukumbu zote za matusi namasimango kwa wazalendo wa kweli zipo humu.
Mimi nasema ' acha turudi tu utumwani kwa waarabu, sababu hatueleweki tunataka nini. Mtoto akililia wembe mpe.
Hakuna kitakacho salia.
Mnapozungumzia mkataba mmoja tu wa bandari, je hiyo mingine mmeiona?
Mnajua Kuna mkataba mwingine wa hovyo waujenzi wa barabara wenye thamani ya trilion 3.5 wenye mazingira ya upigaji wa kutisha?
Sisi ni kenge tu, acha tuuzwe tu hamna namna.
 
WaTz mnajifanya mnajua kuandika mnajificha nyuma ya keyboards zenu... Uhalisia WaTz ni maandazi tu [emoji1787][emoji28] tokeni barabarani muonyeshe hisia zenu... Ndiyo maana hata viongozi wa darasa la 7B wanawaburuza watakavyo kwasabab hamjitambui
Kwani wewe mrundi!? Toka na weeewe
 
Hakuongeza mshahara Kwa miaka 5 , hakuajiri Kwa miaka mitano,alipendelea vyombo vya ulinzi tuuu !! Hakika hakufaa
 
Tanganyika inataka kumwuzia raslimali za nchi msela mmoja wa wa nchi ya UAE bila ridhaa ya Raisi wa UAE.

Raisi wa Tanganyika kasaini mkataba kuhusu kuuza mali za Tanganyika.
Watu wana uliza mbona Raisi wa UAE hana habari ?

Maana Ilitakiwa Raisi wa UAE ndio asaini kwa upande wa Uarabuni ili kubalance uzito wa mkataba.

Kama kule kasaini Mkurugenzi wa kitengo fulani cha idara fulani, basi na huku angesaini Mkurugenzi wa kitengo fulani cha bandari.

Watanganyika tunaomba kuuliza kwanini Raisi UAE hajasaini huu mkataba ?

Maswali mengine yanakuja.
 
Kama kule kasaini Mkurugenzi wa kitengo fulani cha idara fulani, basi na huku angesaini Mkurugenzi wa kitengo fulani cha bandari.[emoji419][emoji375]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hana akili
 
Mshana ni tunu ya Taifa.
 
Sijawahi kukudharau una ponti sana kwenye unachoandika
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…