snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,338
Its ok chief
Yaaaah!
Shit happens,lakini maisha yasonge mbele chief!
Its ok chief
Umeongea maneno mazuri sana theoretically, lakini ni method gani itamruhusu kuondoa uchungu alionao? Je kwa hali iliyopo na aki assess the situation ni kipi kitamsukuma kuendelea na ndoa.
Watoto?
Upendo aliokuwa/alionao kwa mkewe?
Kusimamia concept/viapo vya ndoa yao? etc
Na pia kuna kitu kinaitwa irreparable damage, yaani isiyorekebika tena labda kichukue shape mpya.
Kusamehe ni kitu kimoja na kurudiana ni kitu kingine.
Hawa watu, waliteswa sana hadi wakafunguka ukweli, bahati mbaya siwezi kuweka hizo taarifa hapa bado polisi wanazi treat kama sensitive information, walisema watatueleza
Ila kuna mtu mmoja aliwahi kunipigia simu na kuniambia nimuonye mke wangu na akakata simu na haikupatikana tena, nilipomwambia mwenzangu akapuuzia na kusema niachane na suala hilo
Nilipolazimisha tulijadili ikawa ugomvi nikaliacha
Ndo maana nasema jambo hili lingeweza kuepukika kama mwenzangu angekua muwazi
Msamehe naamin atapopona ukamueleza vizur matatizo yake, naamn atabadilika kwa kias kikubwa sana maana tukio alilopata ni kubwa sn hatakaa asahau maisha yake yote, na pia ww ndio unatakiwa uwe nae karibu kipind hiki ili umfichie aibu hyo, kuliko utapomuacha hilo tukio litakuwa tangazo kwa kila mtu na hutoachwa kunyoshewa vidole kwa kumtekeleza mkeo kweny wkt mgumu km huo... Ila km utashikilia kumuacha bas "OL DE BEST."
Duniani kuna mambo,kama mimi ndio mkei limetokea hili jambo halafu unaniacha ningejua tu kwamba wewe ndio umenifanyia huo mpango
Hivyo ningelipa kisasi kwako mara mbili yake
Kwanini usichunguze sababu za kubakwa mkeo?huenda ulichukua mke wa mtu au binti wa mtu ndio wamelipiza kisasi kwako
Duuuh ... Oh God why women are suffer like this ? Ama kweli kuna binadamu wengine hawana roho ya kimungu ..Hivi dear how many mistakes have you done to anyone since you were born? Honestly hukufaa hata kuitwa mume hata kidogo... Pamoja mkeo alikuwa ana makosa but for now only I can see is your mistake .. Kitendo cha kutomjali mkeo katika kipindi hichi kigumu honestly you weren't a good husband to her at all .. Nilishawahi na MTU ambaye kila nilichomuambia hakunisikiliza .. but yalupokuja ya kumkuta na kumkuta I didn't care about what he did , but I cared about his health first even though I had a reason to walk away and leave his dead body at the hospital .. Kweli nimeamini pamoja wanawake na vituko vyetu na ubabe wetu but some of us We have caring heart.. Jamani let's say move hiyo wife part .. how about the mother of your freak children ... Do you know how much she needs you now? The trauma she is inn to first she is lucky ametoka mzima ni kitu cha kushukuru ... yaani huna tofauti kabisa na hao wanyama who raped her.. Yesu akasema asiye na dhambi awe Wa kwanza kumrushia Jiwe ( mwanamke kahaba) na hakuna aliyefanya hivyo because they were all sinners.. so are you my brother .. hata kama umemchoka hakustahili kufanyiwa vile ... na wewe kummisstreat her like that... Wanawake wenzangu tuwe makini na hawa wanaume wengine tuaotaka kuwaita mume zetu looh ... nahisi kukuchukia honestly but I can't ... just kitendo cha wewe kusema eti unatoka kwenda kunywa beer and the mother of freaking children anateseka pale .. hata kutaka kujua waliommbaka , ni hapana . I call your freak children because sidhani hata kama you give a damn about them ... because If you do you would at least play nice for now for the sake of them ..
Najiuliza mengi hivi nyie wanaume mnatutendea mangapi sisi wanawake but we still take care of you men. Na hata maradhi ya ukimwi mnatuletea but still tunawajali na kuwathamini .. Aaggghhhrrr yaani nimekasirika sana .. Namuonea huruma kweli huyo Dada .. it will take very long time to recover and to gain her confidence again, duuh .very sad... Thanks...
Love has its place, as does hate. Peace has its place, as does war. Mercy has its place, as do cruelty and revenge.
While seeking revenge, dig two graves - one for yourself.
Unataka kumuacha mkeo kwa sababu ya kukudharau au kubakwa? Japo unasema kwamba umepona rohoni lakini matendo yako yanaeleza vingine kabisa. Unahitaji kumuomba sana Mungu wako akuponye na machungu yote uliyo nayo kutokana na matukio haya yote. Kinyume na hayo hiyo roho ya kisasi unayoibeba itaendelea kukuandama maisha yako yote na wala usijidanganye kwamba eti umepona rohoni maisha yanaendelea kama kawaida!
Huyo bado ni mkeo na ni juu yako kuonyesha upendo wa pekee na kumjali hususani katika kipindi hiki kigumu kwake...si ndivyo ulivyoapa wakati unamuoa? Kwamba utakuwa naye katika mema/mabaya, utajiri/umasikini, ugonjwa/afya?? Au haya maneno huwa wengine mnatamka tu bila kuelewa maana yake nini haswa?
Kama kweli una hasira naye basi muandikie talaka sasa hivi umuache kwa nini uendelee kukaa naye huku umemtenga?? Huyo mama mkwe wako ana kila sababu ya kukutazama kama shetani manake unaonesha kama vile umefurahia mkeo kubakwa kwamba sasa "amekiona cha moto" si ndio?
Only cowards run away from their partners in time of troubles
Who is seeking revenge? And against who?
You have missed the point my friend, go back to my writings and read line after line
As for divorce
Yes am doing it, right now, am just waiting for things to cool down a little bit
Ina maana walioachana wote duniani wakaanza upya hawana furaha?
Kwa nn watu waendelee na ndoa zinazowaletea machungu!?
Search urself my friend