Hiyo tisa... kumi tulipangwa darasa moja wanafunzi wa mwaka wa mwanza Civil... wa pili Electrical na wa tatu mechanical... yaani anaanza wa electrical anayefuata wa civil halafu anamalizia wa mechanical na seko inajirudia....

Long tym...mambo ya mtihani. Watu wanatengeneza spider web... ila mm nilikuwa nakaaga mbele kabisa karibu na meza ya msimamizi kwenye CA'S. Sitaki shida.
Tena nimesoma technical haswaaa... Embu cheki.. Baada tu ya kumaliza primary school... Nikatia maguu IFUNDA TECHNICAL SECONDARY SCHOOL... then... MBEYA TECHNICAL COLLEGE... nikamalizia FACULTY OF ENGINEERING pale UDSM... Na somo rahisi kwangu ukiangalia cheti changu cha form four ni hesabu na somo gumu kiswahili... Nakumbuka nilifanya mtihani wa kiswahili kwa ule wimbo wa mwanameka... we acha tu... D ilihusika tena ya kusevu penatiHahahahaahha kumbe nawe pia umesoma technical school? Hiyo mbaya sana kumbuka mtihani wa kidato cha nne wanaofuatia kwa namba nyuma yangu kama watatu wote tulikua tusoma telecommunication loh ilibidi upangaji wa namba siku hiyo ufeli loh ilikua balaa no chabo
hahahaaaaaaaa,unaweza jikuta unabanwa na haja kila baada ya dakika 20
Tena nimesoma technical haswaaa... Embu cheki.. Baada tu ya kumaliza primary school... Nikatia maguu IFUNDA TECHNICAL SECONDARY SCHOOL... then... MBEYA TECHNICAL COLLEGE... nikamalizia FACULTY OF ENGINEERING pale UDSM... Na somo rahisi kwangu ukiangalia cheti changu cha form four ni hesabu na somo gumu kiswahili... Nakumbuka nilifanya mtihani wa kiswahili kwa ule wimbo wa mwanameka... we acha tu... D ilihusika tena ya kusevu penati

itakuwa 1991 hiyo