comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,746
- 18,093
Acha kulishwa matango pori na DINI zilizokuja na mashua, hakuna pepo wala jehanamu.
Pepo yako ukikomaa unaipata hapahapa duniani, au haujui Kuna familia tayari hapa Tanzania zishafika peponi kabla ya kufa!?
Mambo ya peponi na jehanamu ni vitisho kwa maskini ili wasiwasumbue ambao tayari wapo peponi hapa duniani, wao wakiwa wanaisubiri pepo ya uongo ya wazungu na waarabu.
Watu wanafosi mazingira, tafuta pesa kwa njia yoyote Ile ilimradi uipate, hakunaga pesa haramu.