Wameadhibiwa na dunia...

Wameadhibiwa na dunia...

Mkuu, nadhani hapa unatania tu haiwezi kua ni tabia halisi ya kwako. Thanks

Unapokuwa na jambo linakutatiza unajaribu kuconect na watu wengine ili angalau kupata relief anatokea mtu wa namna hiyo unaachana nae!! Ananchotafuta ni kukuumiza zaidi na pia humu kuna tabia ya kutafutiana ban, mie huwa sijisumbui kujibizana nae!!

Back to the topic: Ubaya wa usaliti ni kwamba anayekufanyia huwa ni mtu unayemuamini sana!! Haiwezekani watu usiowafahamu wakakufanyia usaliti, haiwezekani. So, piga moyo konde na jipange upya kimapenzi na kimaisha
 
nafasi nimekupa mimi unajifanya kuniita dada aya basi tafuta iliyo[pigwa mpaka ikaota sugu haina hamu.. ha ha ha jokes
Hahaha..itabidi niitumie hii fursa hasa kipindi hichi kigumu cha msongo wa kuibiwa. Ila mambo ya kaskazini tumwachie baba mkubwa mbowe, pesa haihusiki hapa.
 
Toa hiyo kitu kichwani mkuu, hata kama mtu anacheat lakini heshima iwepo, awe anatimiza wajibu wake kama mume, sio kuishi kuhonga huku Miss Chagga na watoto wanapata kwashiakor

mkuuu naogopa ndoa aiseee kama kituo cha polisi,... kucheat kunauma nililia sana bf wangu nilivyogundua kanicheat niliumia sana kwa sababu anashusha mapenzi na alininyanyasa sana aisee kwenye ndoa ndo initokee uwiii nitakonda sana ndo maana naogopa ndoa sana
 
Hahaha..itabidi niitumie hii fursa hasa kipindi hichi kigumu cha msongo wa kuibiwa. Ila mambo ya kaskazini tumwachie baba mkubwa mbowe, pesa haihusiki hapa.
aisee pesa mbele kama tai mkuu usikimbie lakini
 
Unapokuwa na jambo linakutatiza unajaribu kuconect na watu wengine ili angalau kupata relief anatokea mtu wa namna hiyo unaachana nae!! Ananchotafuta ni kukuumiza zaidi na pia humu kuna tabia ya kutafutiana ban, mie huwa sijisumbui kujibizana nae!!

Back to the topic: Ubaya wa usaliti ni kwamba anayekufanyia huwa ni mtu unayemuamini sana!! Haiwezekani watu usiowafahamu wakakufanyia usaliti, haiwezekani. So, piga moyo konde na jipange upya kimapenzi na kimaisha

Thanks much kaka mkubwa.. nikekuelewa na nimefurahi kwa kunielewa pia. ubarikiwe
 
mkuuu naogopa ndoa aiseee kama kituo cha polisi,... kucheat kunauma nililia sana bf wangu nilivyogundua kanicheat niliumia sana kwa sababu anashusha mapenzi na alininyanyasa sana aisee kwenye ndoa ndo initokee uwiii nitakonda sana ndo maana naogopa ndoa sana
Kuna wanaume wengine ni wasumbufu lakini wapo waelewa pia, ukiona yametokea kama hayo ujue umeepusha shari za mbeleni na pia sio mpango wa mungu kuwa na huyo mtu. Piga moyo konde fikiria kivingine
 
Sasa mshikaji unachapiwa halafu unasema jamaa kaibika,yeye ndio kidume kwa sababu kakuchapia demu wako ambaye kila leo anakuita baby,bebii.Huoni fedheha kubwa sana kuchapiwa.Na je utaendelea kumchapa huyo mke wako kama zamani.Nini kilichofanya demu wako atoke nje,ina maana dudushele lako halifanyi kazi vizuri

Mkuu jaribu kuwa na staha,jamaa katoa lake la moyoni hapo alipo anamachungu kuna haja gani kumkejeli,huyo demu kicheche tuu hajatulia tu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Pole kwa maswahiba, pray to God akupe mwingine ambaye ni match yako ambaye atakua mwanaminifu na qualities nzuri, other than that haya mambo ni magumu...............
 
Thanks babe s.. Kweli binadam hatueleweki na hatuaminiki inauma sana lakini ndio yashatokea...
 
Kuna wanaume wengine ni wasumbufu lakini wapo waelewa pia, ukiona yametokea kama hayo ujue umeepusha shari za mbeleni na pia sio mpango wa mungu kuwa na huyo mtu. Piga moyo konde fikiria kivingine

yah nilishaachana nae ila ndoa usinishauri aiseee kunatisha
 
Mbadala wa pesa ninini? nataka plan B instead of money tuireplace na nini? Sabau mwisho wa siku ntakutumia kama unavyotumia pesa zangu. Nipe mbadala wa pesa

nipende sana na nideke sana kwako usichoke kusikia nadeka
 
yah nilishaachana nae ila ndoa usinishauri aiseee kunatisha
Ndoa ni nzuri lakini inahitaji uvumilivu, usiende sababu unahitaji kuolewa tu, nenda sababu umempata mtu unaeamini mnapendana na mnaendana , ukikosea hapo utaikumbuka hadithi ya headless chicken
 
Unajua ni nini?? Wengi huwa tunaanzisha mahusiano bila kujua background ya unayetaka kuanzisha nae mahusiano. Hicho ni kitu muhimu sana, hebu pata picha kijana aliyekulia kwenye familia ambayo wazazi/walezi wanapigana kila siku!! Unadhani atakudekeza wewe??

Kijana aliyekulia kwenye familia anayoona mifarakano ya cheating kila mara au kuna ile baba anamuonyesha mtoto wa kiume nyumba ndogo yake then yule mtoto akienda kusalimia nyumba ndogo anapewa raha zote!! Michakula, vinywaji na kila kitu, naye anakua akijua nyumba ndogo ndiyo raha!! unategemea nini hapo??

Au mama mtu anatoka home na mtoto wake wa kike wanaenda kula bata kwa kidumu!! Mtoto anajijengea nini akilini??

Hiyo ni factor mojawapo tuu lakini historia ya mtu ni muhimu sana katika mapenzi ingawa hatujui tu.
 
sawa mkuu ila tusikimbilie huko sasa
 
asante rafiki kwa ushauri mzuri
 
Back
Top Bottom