Uko sahihi mkuu wangu, historia ndio inajenga wakati uliopo na ujao..Historia inampa mtu kujiamini..Unajua ni nini?? Wengi huwa tunaanzisha mahusiano bila kujua background ya unayetaka kuanzisha nae mahusiano. Hicho ni kitu muhimu sana, hebu pata picha kijana aliyekulia kwenye familia ambayo wazazi/walezi wanapigana kila siku!! Unadhani atakudekeza wewe??
Kijana aliyekulia kwenye familia anayoona mifarakano ya cheating kila mara au kuna ile baba anamuonyesha mtoto wa kiume nyumba ndogo yake then yule mtoto akienda kusalimia nyumba ndogo anapewa raha zote!! Michakula, vinywaji na kila kitu, naye anakua akijua nyumba ndogo ndiyo raha!! unategemea nini hapo??
Au mama mtu anatoka home na mtoto wake wa kike wanaenda kula bata kwa kidumu!! Mtoto anajijengea nini akilini??
Hiyo ni factor mojawapo tuu lakini historia ya mtu ni muhimu sana katika mapenzi ingawa hatujui tu.
tujipange kwanza mkuu, haya mambo pia yanataka utulivu na muongozo wa kiroho zaidi, sababu ni maamu ambayo yanaweza kuvuruga au kutengeneza maisha yako.
Wew ukideka tu na uonyeshe mapenzi ya dhati hapo hela itatafutwa utadhani ni ya kwetu tumeipoteza tu.. i like that
Hahahaaa..kile cha nurse? wewe una balaa wewe. hayo mambo hayapo kaskazini, ila Miss chagga naskia ndio katabia ka mjini siku hizi? is it true? in case umesikia pia..mimi nakupa yote wewe tu lakini sitakupa kile alichokupa nurse aah hicho sikupi... ila kudeka , mahaba utapata
Kwani wewe ulimuoa? kama ni hawara tu, jiulize ulimpataje wenzako washindwe?
Kuchapiwa ni mke tu, hawara analiwa kama unavyomla wewe, huo ndio ukweli.
Sasa kapime UKIMWI.
Namaste wana jamvi..
Nina rafiki yangu, yeye ni mtu mkubwa tu kwenye sector ya afya.
Jamaa alikua anafikia kwangu kila mara akija DSM, mimi niko single lakini nlikua na girlfriend.
Jamaa akajuana na huyo girl friend wangu kama mashemeji.
Muda ukawa umepita jamaa akapata mchumba akaoa na akajaaliwa kupata mtoto, ila kwa miaka ya hivi sasa jamaa akija DSM anafikia Hotel sio kwangu tena kama alivyozoea kwani huwa akifikia kwangu anasave sana.
Hata usafiri huwa anatumia wangu so anasave asilimia kubwa ya pesa.
Jana ndio nkagundua siri ya mtungi, mke wa jamaa alipost facbook kwenye wall ya yule binti, girl friend wangu kwa kumtusi matusi ambayo siwezi kuyaandika hapa, huwa hayatamkiki but kifupi alikua anamuonya aache kutembea na mume wake na mke wa jamaa alipost kupitia akaunti ya jamaa.
Kwa kweli nlipigwa na butwaa, sikutegemea kama rafiki yangu ataweza kunisaliti.
Kwa upande mwingine nimewasikitikia sana kwani jamaa kaaibika sana kwani marafiki zake wote wameona hiyo kashfa na kucoment kumpooza mke wa rafiki yangu.
Kweli hakuna urafiki wa kweli.
Hahahaaa..kile cha nurse? wewe una balaa wewe. hayo mambo hayapo kaskazini, ila Miss chagga naskia ndio katabia ka mjini siku hizi? is it true? in case umesikia pia..
kumbe bado upo hai... haya nenda kwa yanayokuhusu umbea ndo umekuleta huku komaHayatuhusu. This is your private business
Ombi bila attachment...weka viambatanisho chalii yangu