Wameadhibiwa na dunia...

Wameadhibiwa na dunia...

Tatizo njia Kuu 4len watu wanaona bora mchepuko.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Kuchepuka kuna mipaka yake, sasa tazama, mpaka mashemeji zake wamesoma huu uchafu wake fb..
 
siku hizi hakuana marafiki ni washkaji tu,na kama ni kusaidiana ni juu kwa juu;tujifunze kuwa na mipaka
Kweli kabisa mkuu, lakini mapenzi na ukarimu kila binaadam kaumbwa nayo, hakuna mtu anazaliwa na roho ya tamaa na chuki. tamaa na chuki tunavikuta hapa duniani, usipokua selective unaweza ukapotea na kupoteza ubinadamu wako.
 
babu kakupunguzia mashuzi wewe wanaume unaumia nini

be happy wala usilalamike

mshukuru Mungu kwa kukuonyesha rafiki yako na huyo galfriend wako ni watu wa aina gani tna wazinzi na waongo
 
babu kakupunguzia mashuzi wewe wanaume unaumia nini

be happy wala usilalamike

mshukuru Mungu kwa kukuonyesha rafiki yako na huyo galfriend wako ni watu wa aina gani tna wazinzi na waongo

Kweli mkuu, kwangu ilikua surprise, sikuwahi hata kuhisi, kwani huyu dada mimi siishi nae afu kwa sasa sipo tz hivyo nlipita tu fb nkashangazwa sana na hili tukio tata.
 
Hawa wachumba/ma girlfriend/wake zetu akili hamna kabisa,hv wanatumia ma. lio kufikiria?hv zamani kulikua na mambo haya?
 
loh kapunguza gharama kweli kweli aisee........... pole sana mkuu duh... iula usijali tulia mwombe Mungu utapata tu anayekufaa na kuona umuhimu wako ......
 
Kwa hiki alichokisema huyu ndugu?

Alilolisema la msingi na limeshawakuta wengi naamini yeye sio wa kwanza, nadhani ata wewe una marafiki na unawaamini so tusiwaamini kivile hawafai,
 
Hawa wachumba/ma girlfriend/wake zetu akili hamna kabisa,hv wanatumia ma. lio kufikiria?hv zamani kulikua na mambo haya?
Nadhani tunahitaji MUSEVENI kupunguza hizi hazi za sintofahamu.. Jana nlishindwa kufanya shughuli zangu kabisa, walinichanganya sana.
 
loh kapunguza gharama kweli kweli aisee........... pole sana mkuu duh... iula usijali tulia mwombe Mungu utapata tu anayekufaa na kuona umuhimu wako ......
Aksante mkuu..niombee pia.
 
Alilolisema la msingi na limeshawakuta wengi naamini yeye sio wa kwanza, nadhani ata wewe una marafiki na unawaamini so tusiwaamini kivile hawafai,
Kweli kabisa mkuu.binadamu wa miaka hii tumebadilika sana. Hatuna utu wala aibu.
 
Sasa mshikaji unachapiwa halafu unasema jamaa kaibika,yeye ndio kidume kwa sababu kakuchapia demu wako ambaye kila leo anakuita baby,bebii.Huoni fedheha kubwa sana kuchapiwa.Na je utaendelea kumchapa huyo mke wako kama zamani.Nini kilichofanya demu wako atoke nje,ina maana dudushele lako halifanyi kazi vizuri
 
Back
Top Bottom