je bidada nae umemmwaga...?Lakini gharama anyoipata sasa nadhani ni mara tatu ya aliyopunguza..Tuwe makini mkuu na tamaa zisizo na msingi.
Mkuu nashukuru. Nadhani wote wawili hawafai kuwa marafiki.Mkuu hakuna lawama hapo, kakurahisishia kazi. Kilichopo muache aende zake kiroho safi. Mabinti wa sikuhizi ndivyo walivyo usikute yeye ndo alijilengesha kwa rafiki yako. Jamaa ukimuona kaja mjini fumua malinda yake ili ajifunze ustaarabu!
mh....miss chagga wewe au mwingineeeee. We si mchaga wa korogwe, mapenzi yalipozaliwa.
Ana balaa kijana bidada anahitaji round 4 za double double. ye anapiga chake kimoja ulimi nje... ataacha kusaidiwa
mimi mtoto niliyecheza chini ya mikahawa na migomba mapenzi niyajulie wapi mda wote waza pesa mimi jamani
Mke wa jamaa mimi namwita kichaa, matusi aloyomwaga utadhani mwanamke anayejiuza karushwa pesa yake. Aibu tupu rafiki yangu. Nadhani anajutia uamuzi aliofanya sababu fb wako wadogo zetu na wakubwa zetu pia, wanamuelewaje Doctor(jamaa yangu)
Muda wote unakoboa kahawa tafuta pexa mama
Not really!! dont be very generousThe opposite is also TRUE!
Mh..Helaa? penalty ama rushwa, kweli wew DEMU WA KICHAGA JIONI UNAULIZAGA, UMEINGIZA SHILINGI NGAPI?na kweli huyo dada ni kichaa kashindwa kuficha aibu ya ndani kwake ni hatari kabisa,... aibu ya mume au mke ni yenu wote ni kuangalia namna ya kumaliza matatizo kuliko kufanya huo ujinga alliofanya... mimi ningemwambia anipe hela kiasi kadhaaa basi yaishe tu
..... (mimi ningemwambia anipe hela kiasi kadhaaa basi yaishe tu)
Nyinyi mnakuaga hatari sana, nawasiwasi na ukweli wa haya maneno yako..wew kwelii miss chagga?