hata sikuenda kwenye party niliogopa kukosa uhuru humu jukwaani.... sasa mkuu usijeruka tena ukuta sawaAu niongee na TYTA aweke, naamini anayo, wewe siulienda kwenye ile party ya jf? hahahaaa, pressure juu toto la kichaga.
Hahahaa..huyu atakua ana frustration zake,..mungu ambariki huko aendako asije kutana na vijana wa mjini wakamdhalilisha
miss chagga unataka kufill the gap nini!!!!!!!!!
Anansaidia tu, unajua theory ya empty obital? Nimedakwa vyema na electron. Hapa nipo stable sasa.miss chagga unataka kufill the gap nini!!!!!!!!!
Hata ukitaka wew? mh..lakini...ok, nimeacha bhana.
Very true, marafiki ni enzi za wazaz wetu..Nakumbuka baba aliku akisafiri anamwachia majukumu rafiki yake ya kutuangalia kwa lolote baya atatue.
Anansaidia tu, unajua theory ya empty obital? Nimedakwa vyema na electron. Hapa nipo stable sasa.
wewe ndiye umekomoleka unless ugegede mkewe hapo ndio uje jf kuelezaNamaste wana jamvi..
Nina rafiki yangu, yeye ni mtu mkubwa tu kwenye sector ya afya.
Jamaa alikua anafikia kwangu kila mara akija DSM, mimi niko single lakini nlikua na girlfriend.
Jamaa akajuana na huyo girl friend wangu kama mashemeji.
Muda ukawa umepita jamaa akapata mchumba akaoa na akajaaliwa kupata mtoto, ila kwa miaka ya hivi sasa jamaa akija DSM anafikia Hotel sio kwangu tena kama alivyozoea kwani huwa akifikia kwangu anasave sana.
Hata usafiri huwa anatumia wangu so anasave asilimia kubwa ya pesa.
Jana ndio nkagundua siri ya mtungi, mke wa jamaa alipost facbook kwenye wall ya yule binti, girl friend wangu kwa kumtusi matusi ambayo siwezi kuyaandika hapa, huwa hayatamkiki but kifupi alikua anamuonya aache kutembea na mume wake na mke wa jamaa alipost kupitia akaunti ya jamaa.
Kwa kweli nlipigwa na butwaa, sikutegemea kama rafiki yangu ataweza kunisaliti.
Kwa upande mwingine nimewasikitikia sana kwani jamaa kaaibika sana kwani marafiki zake wote wameona hiyo kashfa na kucoment kumpooza mke wa rafiki yangu.
Kweli hakuna urafiki wa kweli.
uskute jamaa alikuwa akimwambia huyo dokta kuwa hana mpango wa kumuoa bali anapigapiga tu kuvuta mudaSiku hizi hakuna marafiki, kuna washkaji na mashostito tu
kamle hata shangazi yake au bibi yake yuho dokta incase wewe hupendi dharauNgoja nkafikirie kwanza, au tunatest kwanza ? Tuliza munkari mtotoooo....
Hahaa, theory zingine hazi apply..Toa huyo mdudu kichwani.