Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
Yeah,
But not when you are giving your definitive positon on faith.
Kivipi?
Au hujui kuwa Imani ya kwenye dini na Imani ya kwenye maisha ya kawaida ni tofauti?
Definition ya imani ya kwenye dini ni tofauti kabisa na Imani ya kwenye maisha ya kawaida
Ukiitumia definitiona ya Imani ya kawaida na kuipeleka kwenye Imani ya kwenye dini utajichanganya
Na hiki ndicho wengi wamekuwa wakifanya!