Wameadhibiwa na dunia...

Wameadhibiwa na dunia...

Hahahahaha kweli we @by miss chagga.

Kama kuna bidada mmoja wamachame alimfumania jamaa yake akawafungia ndani akaenda kununua petrol akaja nayo akamuonyesha jamaa kwa dirishani akamwambia kwa usalama wenu ninataka 1m Jamaa mbona alitoa kadi hela zikachukuliwe.. ChagaZ ni shidaaa

pesa ndo kila kitu mkuu nikimfumania nikimdhalilisha atakubuhu
 
Mh..Helaa? penalty ama rushwa, kweli wew DEMU WA KICHAGA JIONI UNAULIZAGA, UMEINGIZA SHILINGI NGAPI?

ndo mpango mzima kucheat mbona watu wamefanya kawaida ila we jioni niwekee zangu mezani maisha yasonge
 
ndo mpango mzima kucheat mbona watu wamefanya kawaida ila we jioni niwekee zangu mezani maisha yasonge
Wewe ume disqualify kuwa mke..kama ndio mimi napiga mechi ukinibamba nakuletea zawadi tu yanaisha. Raha sana
 
Mi huwa sielewi,mfano rafiki yako akilala na mpenzi wako wa kumlaumu rafiki au mpenzi??
 
Hapo raaha, umepata support, miss chagga. Umri sasa unakimbia na speed inapungua, inawezekana ni sababu pia.

Mkuu kama umri unakimbia oa mke wa ndoa anaweza akakuvulia hata kama speed inapungua .
 
aisee chalii nipo chini ya kahawa hapa dar salaam nasikiaga tu kupo sijawahi fika aisee wewe
Hiyo Chalii umenikumbusha mbali sana miss chagga, utoto mpaka mwanzoni mwa ujana nlikuaga naishi huko afu ndio home pia. So ur my sister kiukanda.
 
Mkuu kama umri unakimbia oa mke wa ndoa anaweza akakuvulia hata kama speed inapungua .
Inabidi nitafute mzee mwenzangu, lakini nawasiwasi isije kua ile tabia ya magolikipa hata wanawake wanayo, inabidi tupewe muongozo hapa. sababu magolikipa huwa wakizeeka na uwezo wa kudaka unaongezeka nam-refer Van der sir..
 
Hiyo Chalii umenikumbusha mbali sana miss chagga, utoto mpaka mwanzoni mwa ujana nlikuaga naishi huko afu ndio home pia. So ur my sister kiukanda.

unikome mimi siyo dada yako unataka kuninyima nini?
 
Wewe ume disqualify kuwa mke..kama ndio mimi napiga mechi ukinibamba nakuletea zawadi tu yanaisha. Raha sana

aisee mimi uongo sipendi unajua ni bora mtu awe muwazi nataka kupiga nje nijue lakini unanidanganya am the only wakati kuna mia wanatumia hiyo kitu aisee ... ndo maana naogopa ndoa sana sijui nitaolewa nini loh
 
Hahaaa ulivyocharuka utadhani mtu kaingia na viatu wakati unapiga nyumba deki.

ha ha ha ha ha na huwa ni mkali nafanya usaf unapita nakunyanyua na teke hutamini.......,. ila kiukweli kaka mimi siyo dada yako aisee usininyime hiyo kitu
 
Pole! MWENYE KISU KIKALI NDO ANAKULA NYAMA SIKU ZOTE MKUU!

Lakini kisu hakihusiki hapa huyo jamaa hana adabu kabisa,heri umfadhili mbuzi.......

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Inabidi nitafute mzee mwenzangu, lakini nawasiwasi isije kua ile tabia ya magolikipa hata wanawake wanayo, inabidi tupewe muongozo hapa. sababu magolikipa huwa wakizeeka na uwezo wa kudaka unaongezeka nam-refer Van der sir..

nafasi nimekupa mimi unajifanya kuniita dada aya basi tafuta iliyo[pigwa mpaka ikaota sugu haina hamu.. ha ha ha jokes
 
aisee mimi uongo sipendi unajua ni bora mtu awe muwazi nataka kupiga nje nijue lakini unanidanganya am the only wakati kuna mia wanatumia hiyo kitu aisee ... ndo maana naogopa ndoa sana sijui nitaolewa nini loh
Toa hiyo kitu kichwani mkuu, hata kama mtu anacheat lakini heshima iwepo, awe anatimiza wajibu wake kama mume, sio kuishi kuhonga huku Miss Chagga na watoto wanapata kwashiakor
 
Lakini kisu hakihusiki hapa huyo jamaa hana adabu kabisa,heri umfadhili mbuzi.......

Sent from my iPhone using JamiiForums

bwana unakosea heri kumfadhili mwanamke kuliko mwanaume... kwa sababu mwanamke unaweza kula mzigo
 
Back
Top Bottom