Wameadhibiwa na dunia...

Wameadhibiwa na dunia...

Mzee ukarimu ni kitu tulichoumbiwa wanaadamu, roho mbaya ni kujifunza. Huyu jamaa tunafahamiana toka utotoni kwani tunakaa mtaa mmoja huko tulipozaliwa. Hivyo ni zaid ya urafiki.

Sasa wivu wa nini hapo? Kizuri kula na nduguyo ebo!
 
Bora umegundua mapemaa kuwa huna mwanamke bali changudoa mfanyabiashara!!! Chapa lapa, tulia na Mungu atakupa ubavu wa ubavu wako.

Mungu yupi huyo atakayempa MZINZI mke mwema? Huyo ni wa kufanana naye!
 
Namaste wana jamvi..
Nina rafiki yangu, yeye ni mtu mkubwa tu kwenye sector ya afya.

Jamaa alikua anafikia kwangu kila mara akija DSM, mimi niko single lakini nlikua na girlfriend.

Jamaa akajuana na huyo girl friend wangu kama mashemeji.

Muda ukawa umepita jamaa akapata mchumba akaoa na akajaaliwa kupata mtoto, ila kwa miaka ya hivi sasa jamaa akija DSM anafikia Hotel sio kwangu tena kama alivyozoea kwani huwa akifikia kwangu anasave sana.

Hata usafiri huwa anatumia wangu so anasave asilimia kubwa ya pesa.

Jana ndio nkagundua siri ya mtungi, mke wa jamaa alipost facbook kwenye wall ya yule binti, girl friend wangu kwa kumtusi matusi ambayo siwezi kuyaandika hapa, huwa hayatamkiki but kifupi alikua anamuonya aache kutembea na mume wake na mke wa jamaa alipost kupitia akaunti ya jamaa.

Kwa kweli nlipigwa na butwaa, sikutegemea kama rafiki yangu ataweza kunisaliti.

Kwa upande mwingine nimewasikitikia sana kwani jamaa kaaibika sana kwani marafiki zake wote wameona hiyo kashfa na kucoment kumpooza mke wa rafiki yangu.

Kweli hakuna urafiki wa kweli.


Hivi yale mambo ya kukaribishana nyumbani bado yapo Bongo? Ujima huo!
Zile hela alizo-save ndio zimeishia kwa demu wako! Mambo mengine japo tunalaumu sana lakini ukweli wenyewe tunajitakia wenyewe.
Mtu kapewa hela ya safari bado unamkaribisha kwako. Bora ukaribishe ndugu zako walioko bush waje waone Dar
 
pole sana mshukuru mungu kwa kila jambo, huwezi jua mbeleni ungekuja kupata makubwa zaidi ya hilo hivyo Mungu kakuepusha mapema.
 
Mungu yupi huyo atakayempa MZINZI mke mwema? Huyo ni wa kufanana naye!

Ha ha ha, you made my day mkuu Cyan!!! Kweli ila akitubu kwa Mungu si anasafisha dhambi zetu nyekundu zinakuwa nyeupe kama theluji? Nina imani akireje kwa Mungu akitubu atasamehewa na kuanza maisha mapya. Tatizo vijana wetu kanisa wanaliona kituo cha polisi!!! sijajua wa misikitini kama wanahudhuria kama walivyo wazee.
 
Si umemkaribisha kwako apunguze gharama.usilalamike mkuu

Alimpunguzia hata garama za kutafta kichenchedo mbali... anangalia kuaibiaka wakati kasha mgegedea demu wake huyu wawapi..!
 
Miss chagga..mh, naogopa kukushawishi, ila niko makini kwenye hii sector. But nadhani ni tamaa tu, na ushetani wa miaka hii. Michepuko imekua fashion miaka hii.

mimi sioni kama ni fashion ni ujinga basi chipuka na mtu wa mbali rafiki wa mpenzi wako huo ni ujinga aiseee
 
utamwoa mchumba wako?...uliyeshindwa kumtuliza hadi akatembea na rafikiyo?
 
mimi sioni kama ni fashion ni ujinga basi chipuka na mtu wa mbali rafiki wa mpenzi wako huo ni ujinga aiseee
Watu hatufikiri nje ya box, tunawaza kilichopo mikononi hatuwazi madhara yake, halafu tunapenda urahisi, yani availability. Madhara ya dezo huwa yana gharama kubwa zaidi
 
utamwoa mchumba wako?...uliyeshindwa kumtuliza hadi akatembea na rafikiyo?
Hey c'mon..siwezi kumuoa. nilikua nawaza kumwoa but kachafua hali ya hewa na kunipa mshtuko wa kutosha.
 
Watu hatufikiri nje ya box, tunawaza kilichopo mikononi hatuwazi madhara yake, halafu tunapenda urahisi, yani availability. Madhara ya dezo huwa yana gharama kubwa zaidi

ila tu yawezekana alishindwa vumilia anapata hamu mara kwa mara na kama ulimzoesha kumpa dudu kila mara ni issue nyingine aisee ,... ila pole sana aiseee duh ila naye mke wa rafiki yako HANA HEKIMA KUWEKA PICHA FBNA KUTUKANA
 
ila tu yawezekana alishindwa vumilia anapata hamu mara kwa mara na kama ulimzoesha kumpa dudu kila mara ni issue nyingine aisee ,... ila pole sana aiseee duh ila naye mke wa rafiki yako HANA HEKIMA KUWEKA PICHA FBNA KUTUKANA
Mke wa jamaa mimi namwita kichaa, matusi aloyomwaga utadhani mwanamke anayejiuza karushwa pesa yake. Aibu tupu rafiki yangu. Nadhani anajutia uamuzi aliofanya sababu fb wako wadogo zetu na wakubwa zetu pia, wanamuelewaje Doctor(jamaa yangu)
 
aise pole sana mkuu Mshukuru Mungu ulikuwa hamjaoana na Mungu kawaumbua mapema mana hata kwenye ndoa angeendeleza michepuko
 
Back
Top Bottom