Wameadhibiwa na dunia...

Wameadhibiwa na dunia...

Kama unaamini sawa maana kuamini ni kutokuwa na uhakika

Unaweza kuamini hata Kigoma imepakana na New York!

We mbwiga umaenza lini kuikana imani yako?
Hayo maneno ulikuwa ukiambiwa na Kiranga na umekuwa ukiyakataa siku zote. Leo imekuwaje?
 
We mbwiga umaenza lini kuikana imani yako?
Hayo maneno ulikuwa ukiambiwa na Kiranga na umekuwa ukiyakataa siku zote. Leo imekuwaje?

Dogo pungua papara
Hapa kuna imani yangu?

Iko eneo gani?

Lakini pia,
Jifunze kusoma jambo ukaelewa

Hapa ni mahalipengine na suala ni lingine kabisa
Acha kuwa mvivu wa kufikiri!
 
Hujaeleza whats next??!?bado unaye?achana naye pcfuly wapo hao muungwana omba mungu akupe Wa ukwee mfunge ndoa Hapo hata ukchapiwa inakuwa Ni cr ya ndan kwelikweli.kmyakmya kwa maujuz Na michuz mtafute mke wake pia nawe mgegede had TGO then rusha fb hata JF.dawa ya moto Ni moto.dats wy vjana tunapotea kila kukicha kat mazee yanaendelea kupeta.Tubadlike ikbd madem hayawan tangu uzao Wa kale.
 
Sijui umempa rushwa, mh..mpaka nimelainika, naona kama ALMASI MCHANGANI VILE..

ugly women get handsome boy oh mama that good for i wil carry in ma handbag other girls not to see u ... and u will get what u want oooooh oooh i ca imagine
 
Dogo pungua papara
Hapa kuna imani yangu?

Iko eneo gani?

Lakini pia,
Jifunze kusoma jambo ukaelewa

Hapa ni mahalipengine na suala ni lingine kabisa
Acha kuwa mvivu wa kufikiri!

We si unajidai mtumishi wa mungu? Iweje leo uchukue kauli ya atheist na kusema hayo maneno juu ya imani?
 
Dogo pungua papara
Hapa kuna imani yangu?

Iko eneo gani?

Lakini pia,
Jifunze kusoma jambo ukaelewa

Hapa ni mahalipengine na suala ni lingine kabisa
Acha kuwa mvivu wa kufikiri!

Leo umekubali kuwa "kuamini" ni "kutokuwa na hakika"?
 
Kama unaamini sawa maana kuamini ni kutokuwa na uhakika

Unaweza kuamini hata Kigoma imepakana na New York!

This should be noted and put in a virtual plaque, as evidence of your position on faith in further discussions.
 
Back
Top Bottom