Wameadhibiwa na dunia...

Wameadhibiwa na dunia...

Sasa mshikaji unachapiwa halafu unasema jamaa kaibika,yeye ndio kidume kwa sababu kakuchapia demu wako ambaye kila leo anakuita baby,bebii.Huoni fedheha kubwa sana kuchapiwa.Na je utaendelea kumchapa huyo mke wako kama zamani.Nini kilichofanya demu wako atoke nje,ina maana dudushele lako halifanyi kazi vizuri
Nadhani mkuu kidasa kuna mambo mengi huyajui kwenye mahusiano, kifupi kwa sasa niko mbali hata wao hawana taarifa kama nimepata habari but dunia ni kijiji siku hizi. Tatizo la distance ndio nalipa nafas kubwa ikifuatiwa kwa karibu na tamaa. Mapenzi yako complicated already so ni bahat tu kupata mtu mtulivu na mvumilivu.
 
Vitu vingine chunguza vizuri usije ukawa ulizungukwa....dunia inamengi hii..na always vitu vibaya vinatokea kwa mtu ambae hukuwahi kuhisi atakufanyia ubaya,huyo unaemwita girlfrend kagegedwa na rafiki yako.....
 
Pole sana ila inawezekana na girl friend wako ndo kamchokonoa shemegiye! Si unajua tena mdada akikutaka kama hauko ngunguri huchomoki?!

Kumbuka post yako juzi kati juu ya nurse aliyekuwa amepanga kwa nyumba yenu akiwa na mchuma wake, alivyokunasa hata ukawa unakula mzigo wa mwenyewe....
 
Bora umegundua mapemaa kuwa huna mwanamke bali changudoa mfanyabiashara!!! Chapa lapa, tulia na Mungu atakupa ubavu wa ubavu wako.
 
Vitu vingine chunguza vizuri usije ukawa ulizungukwa....dunia inamengi hii..na always vitu vibaya vinatokea kwa mtu ambae hukuwahi kuhisi atakufanyia ubaya,huyo unaemwita girlfrend kagegedwa na rafiki yako.....
Thanks mkuu,
Baada ya kupata hizi taarifa nliwasiliana na mke wa jamaa, yeye hakua anajua kama mimi najuana na huyu binti (gf) hivyo alinielezea kwa kirefu na kwa kweli nlisikitika lakini sikumwambia kama najua na huyo binti. jamaa na gf hawakua online hvyo sikuwasiliana nao.
 
Pole sana ila inawezekana na girl friend wako ndo kamchokonoa shemegiye! Si unajua tena mdada akikutaka kama hauko ngunguri huchomoki?!

Kumbuka post yako juzi kati juu ya nurse aliyekuwa amepanga kwa nyumba yenu akiwa na mchuma wake, alivyokunasa hata ukawa unakula mzigo wa mwenyewe....
Inawezekana mkuu, lakini nimeamua yote nimuachie Mungu, na vilevile sihitaji yoyote kati yao awe karibu yangu tena.
 
Mkuu nani kaadhibiwa na dunia? Ni wewe unayetafuniwa mzigo wako au ni yule anayepata raha kwa kukutafunia mzigo wako.
 
Naamini umeelewa ila unajifanyisha hujaelewa...:A S 13:

Kama unaamini sawa maana kuamini ni kutokuwa na uhakika

Unaweza kuamini hata Kigoma imepakana na New York!
 
Is taht just simple like that? We umeona wameadhibiwa hapo? No more action to ur gf?
 
Mkuu sizing..bahati nzuri niko mbali, kama ningekua tz nadhani reaction ingekua kubwa.Hapa sina ujanja..
 
Pole sana ,some women are too cheap and do not respect themself
 
Nadhani mkuu kidasa kuna mambo mengi huyajui kwenye mahusiano, kifupi kwa sasa niko mbali hata wao hawana taarifa kama nimepata habari but dunia ni kijiji siku hizi. Tatizo la distance ndio nalipa nafas kubwa ikifuatiwa kwa karibu na tamaa. Mapenzi yako complicated already so ni bahat tu kupata mtu mtulivu na mvumilivu.
Jitahidi mshikaji kupata contact za mke wake,ili nawe umchape ili kuondoa maumivu.Naamini huyo mke wake hatakataa kwani nae ana kidonda.
 
Hapana mkuu, hapo tutakua tunaangamizana. Nadhani hapo kwake kwa sasa hakuna amani.
 
Kama unaamini sawa maana kuamini ni kutokuwa na uhakika

Unaweza kuamini hata Kigoma imepakana na New York!
looooh.....hiyo nasikia kwako kama kuamini ni kutokuwa na uhakika....lakin najua pia umeelewa
 
Back
Top Bottom