acha utoto huo nani alikuambia!Kuchapiwa siri ya ndani.
acha utoto huo nani alikuambia!Kuchapiwa siri ya ndani.
Hizi revenge lazima ziwe na mipaka mkuu, baba alifanya kosa huwezi kumfunga mtoto. Msome mtu utamwelewa. mwisho wa siku unakua mtu wa kutangatanga na wanaume. Binafsi sipendi msichana anaetazama wallet yangu ina thickness kiasi gani, nitazame my contents mkuu. huwez jua nina thamani zaid ya hizo pesa mbuzi. So tuwe wavumilivu na tupende mtu sio pesa.Maisha yamebadilika kuna sababu mbalimbali ambazo zimewafanya baadhi ya kina dada kuthamini uchumi wa mtu.....utakuta mwingine alishamvumili mpz wake katika hali ngumu ila baada ya kufanikiwa akapigwa chini akatafutwa wa hadhi nyingine....kwahyo mtu kama huyu ameshajeruhiwa unadhani keshi atakuwaje? Kwahyo sababu ziko nyingi ingawa wengine ni hulka yao tu
Nimeongea na mmiliki mkuu, tumekubaliana kwa masharti nafuu..ila ntaondezea DOOST (rafiki) mbele ya namaste.
Hapana mkuu, ni makubaliano halali chini ya wanasheria wa mmu
Kwenye utamu hayupo rafiki wa kwelii
Hamna bwana mim namjua miss chagga...labda tu uandae ulinzi wa kutosha..
Kwenye utamu inabidi tuwe WA-sellfish au sio? unaweka ulinzi matata, HAKUNA NJIA HAPA...
Anakuwa amevurugwa kwa hiyo hayo mengine hata hajali anachojali ni pesa tu mengine kaa nayo mwenyewe...Hizi revenge lazima ziwe na mipaka mkuu, baba alifanya kosa huwezi kumfunga mtoto. Msome mtu utamwelewa. mwisho wa siku unakua mtu wa kutangatanga na wanaume. Binafsi sipendi msichana anaetazama wallet yangu ina thickness kiasi gani, nitazame my contents mkuu. huwez jua nina thamani zaid ya hizo pesa mbuzi. So tuwe wavumilivu na tupende mtu sio pesa.
Mbona ushapata mwaya...nisifie nisifie nipate kampani aisee
Mbona ushapata mwaya...
hmmm!
kijana ninavyokujua kweli! utambakiza kubwa la maadui?? --- atafurukuta kwako kweli? -- lols!
nasubiri thread yako ya complaints and congratulation! -- kidding!
Kufika tutafika ila ndo hvyo cha moto lazima tukione...Hapa kazi ipo kwelikweli, Dunia imepata wenyewe..Haya tutaona kama tutafika salama huko uzeeni.