Wameadhibiwa na dunia...

Wameadhibiwa na dunia...

ai utamu wangu mnilie aku mama tena we ndo na wasi wasi nakula mwenyewe.. au dikembe unasemaje wewe?
Nlishaonywa mapema lazima niwe na AK47, nimlinde Miss chagga wangu..Kweli mwaka huu nina bahati ya mtende. Namiliki such a beautiful miss..
 
Ila nyoka wa kuchona huwa anapendeza kuliko halisi..Nawasiwasi ni msimamo wangu
Anapendeza sababu mchoraji ana kipaji na lazima achore vizuri ili kazi yake ipendwe zaidi ya hapo huyo ni pambo tu wala hana madhara...
 
Anapendeza sababu mchoraji ana kipaji na lazima achore vizuri ili kazi yake ipendwe zaidi ya hapo huyo ni pambo tu wala hana madhara...
Ila huyo ndio mzuri kwani haleti wivu, ntakua namfuta vumbi namweka ndani,nkitoka nkirudi namkuta wala hazururi...hahaha
 
Back
Top Bottom