miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
Nlikua nakumbuka kwa mbaali sana..Dah, nice content..
yah real jiandae kuwa kama mkoba
Nlikua nakumbuka kwa mbaali sana..Dah, nice content..
This should be noted and put in a virtual plaque, as evidence of your position on faith in further discussions.
We si unajidai mtumishi wa mungu? Iweje leo uchukue kauli ya atheist na kusema hayo maneno juu ya imani?
Leo umekubali kuwa "kuamini" ni "kutokuwa na hakika"?
Ya nini kujichosha wakati maisha yenyewe mafupi....ah mim najilia ujana wangu....Mi nadhani Kusuka ndio chaguo sahihi..Never give-up the fight..
Haya kifuta jasho changu.....Agreed..mkataba umesainiwa chini ya mwanasheria wetu Sister. Nadhani hakuna dispute!
Nataka hcho kidani.....asanteChagua zawadi, kwa kazi nzur uliyoifanya..Hizo zote 16GB pendrive..only one pc
Hahaa niko above 35 si unajua mjini kila mtu baby...Good idea..kula ujana mama. Hakuna maisha mengine, tunaishi kwenye ndoto zetu, hakuna tena kuota. Bt if uko above 25.
Hahaaa haya mkuuHahahahaa..haya baby.
Kwenye nini?
Nope ....
Kwenye maisha ya kawaida kuna kamusi inayoweza kufafanua maana ya maneno yanayotumika humo
Kwenye dini kuna kamusi yake ambayo inafafanua maana ya maneno yanayotumika humo ambayo ni tofauti na kamusi ya maisha ya kawaida
Hayo ni maeneo mawili tofauti kabisa na unapozungumza ni muhimu ukayajua hayo!