sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,852
Umenifanya niutafute huo uzi wa nurse....dah hatari tupu.....Mh..unakumbuka Nurse..hahahaha. mkuu
Umenifanya niutafute huo uzi wa nurse....dah hatari tupu.....Mh..unakumbuka Nurse..hahahaha. mkuu
Hahaaa nurse.......kwa kauli yako...imenibidi niutafute uzi wa nurse.....dahalichokupa nurse sikupi hapana but am ure nitakupa vyote kasoro hicho
Hahaa asiee naomba niishie hapo... miss chagga kazi kwako...kusuka ama kunyoa...Hahaha..umeona, ye kaahidi atanipa kila kitu, hapo je? ataweza
Hahaa asiee naomba niishie hapo... miss chagga kazi kwako...kusuka ama kunyoa...
Au hayo ni makubaliano in SITU...
Hahaa asiee naomba niishie hapo... miss chagga kazi kwako...kusuka ama kunyoa...
Haya .. mhhhhh...nimesahau kipande cha banana zoro. HAYO MANENO MANENOO...aghhhhhh
Agreed..mkataba umesainiwa chini ya mwanasheria wetu Sister. Nadhani hakuna dispute
![/QUOTE
cc:sister
Mi nadhani Kusuka ndio chaguo sahihi..Never give-up the fight..
Hayo maneno manenoo, maneno yako maama....nikongeaa na sister......hahahahahahahaha
Siku hizi mapenzi ni vita, hakuna kuacha gap, mtu na mtuwe..kila mahali kama handbag.