Ulitaka kusema nini hapa, mbona magonjwa yako dunia nzima hayoooBasi, kama wewe ni mmatumbi mwenye nongwa. Amka uwahi kazini ukaendelea kufanya jambo lile lile kwa miaka 50. Alaf uje uuguze magonjwa nyemelezi kama kisukari, presha na obesity kwa hela ya mafao.
Basi tutakushambulia mno , hasa mimiNimeisha pitia stage zoote za initiation katika fani ya kushambuliwa ndo maana huwa na pokea kiumbe jinsi a navyo kuja. So mimi ni another version of Lissu kimtazamo zaidi
Mkuu umeongea jambo la maana sana hapa,Acha ujinga, kufanya kazi kwa bidii sio utumwa, bali unawekeza kwa vizazi vijavyo,
Acheni kujifariji enyi wamatumbi.Mkuu umeongea jambo la maana sana hapa,
Tunayo yafanya leo sio tu kwa ajili yetu,bali ni kwa ajili ya vizazi vijavyo pia.
I like it.
Wewe unajua mimi ni nani? nafanya nini? nipo wapi?Acheni kujifariji enyi wamatumbi.
Huwezi kusema unafanya kitu kwa ajili yako wakati hauna autonomy ya kuamua ufanye nini, hiyo ni another version ya utumwa.
Sio utumwa wako pekee bali hata kizazi kikuonacho kita copy na kupaste the same lifestyle
Nimejibu hoja iliyoko menzaniWewe unajua mimi ni nani? nafanya nini? nipo wapi?
Au umeshajiwekea fixed image kua kila mtu hapa JF yupo kama wewe tu?
Coz ukiusoma huu uzi kwa umakini,ni kama umejielezea jinsi wewe ulivyo.
Ndio iko hivyo mkuu, hata maisha tuliyonayo leo ni matunda ya waliotutangulia walipambana, leo tunatumia magari walikaa kugundua hayo magari hata hawapoMkuu umeongea jambo la maana sana hapa,
Tunayo yafanya leo sio tu kwa ajili yetu,bali ni kwa ajili ya vizazi vijavyo pia.
I like it.
Hujaielewa mada vizuri umekurupuka.Acha ujinga, kufanya kazi kwa bidii sio utumwa, bali unawekeza kwa vizazi vijavyo, hakuna kitu cha buree lazima upambane, tena huko ulaya wanafanya kazi 24hrs ndio maana mambo yanaonekana
Kuna kitu unachanganya unajaribu kuleta morarity kwenye swala la meditation...Mmh...! Ndio wewe tena? Kile unachokiomba kule mbona inakuwa sio sample ya wewe?. Wale ni watu WATULIVU sana. Wenye kupewa uelewa mkubwa ksbb wanajua mengi. Au kule unamuombea mtu sio wewe?
Wewe ndio umekuja kutengua torati.Kuna kitu unachanganya unajaribu kuleta morarity kwenye swala la meditation...
Meditation haimfanyi mtu kuwa mwema, hiyo sio dini.. Hiyo ni practice
Sahihi mkuu!Hakuna anayependa kufanya kazi kama punda.
Ila mazingira yanalazimisha
Kupata kipato cha kukidhi mahitaji
Kufikia malengo binafsi
Kuboresha maisha yao na familia zao.
You're not God you crazy ass dude.Wewe ndio umekuja kutengua torati.
Sasa nikutahadharishe kile nikichokuambia kule kufikia hatua ya kuonana na malaika wako wawili sio kitu kidogo,hiyo ni imani kubwa. Sasa ukileta janjile kwamba utakuwa waluwalu huwezi kuwa mwema,basi ishia hapo ulipoishia kwenye meditation uliposhia panatosha.
Lakini ukiendelea mbele kwenye yale mafunzo makubwa na bado ukawa na mambo ya ovyo,soon utakuwa kichaa. Usiwaone vichaa wote huko barabarani ukadhani wamelogwa au wako tu hivyo. Wengine wali-agansit maswala kama hayo ya kiimani kama unavyotaka kuyachezea wewe.
Ndio maana nikakudirect kwa yule mwamba ili akuelimishe zaidi.
Vinginevyo ukileta ujanjile wako utapotea. Usirahisishe kila jambo