Kama kwa siku hauna uwezo wa kuingiza hata 200k ni marufuku kutufokea sisi wamatumbiAcha nongwa ewe mmatumbi wakati wajua fika wewe mmatumbi mwerevu😂
Una huruma sana hebu ongeza ifike 1M kelele zipungueKama kwa siku hauna uwezo wa kuingiza hata 200k ni marufuku kutufokea sisi wamatumbi
Jela kivipi?Na hiyo ndo jela walioowaaminisha wamatumbi wenzenu werevu.
Hapo nimemuhurumia sana bwashee tufanye tu hiyo hiyoUna huruma sana hebu ongeza ifike 1M kelele zipungue
Sio mazingira ni zao la mfumo , watu wachache watumikisha wengine, hata watumishi wa umma wanatumikishwa na CCM. Kwa hiyo , hakuna tatizo ni yale yale tu , hata ufike migodoni wapo cheap labor na mapapa ndo kama hao wanamwaga hela .Hakuna anayependa kufanya kazi kama punda.
Ila mazingira yanalazimisha
Kupata kipato cha kukidhi mahitaji
Kufikia malengo binafsi
Kuboresha maisha yao na familia zao.
Kufanya kazi kwa bidii sio tu Africa hata huko kwa wenzetuSio mazingira ni zao la mfumo , watu wachache watumikisha wengine, hata watumishi wa umma wanatumikishwa na CCM. Kwa hiyo , hakuna tatizo ni yale yale tu , hata ufike migodoni wapo cheap labor na mapapa ndo kama hao wanamwaga hela .
Nipo kwa shemeji na bado😂Kama kwa siku hauna uwezo wa kuingiza hata 200k ni marufuku kutufokea sisi wamatumbi
Ndio sheria yetu wamatumbi, hautaki ndio hivyo hivyo ,unataka ndio hivyo hivyo.Nipo kwa shemeji na bado😂
nakula maisha, hela si kitu kwangu.. Sina shida ya hela, na sioni raha ya hela kama sina amani. So mmatumbi mjinga ndie anaye dhani pesa ndo kipimo cha utu.
Ni ujinga wa mwisho kabisa, yaani ni sawa na nyani arukae tawi hadi tawi for the sake of pleasure(pesa) wakati kuna shina moja linaweza kuwa na fault akaanguka na kupoteza maisha.
Sitaki kingereza mkuu, tumia kiswahiliI do not see money as a source of power. I've seen and lived with people who had plenty of it but walikuwa so insecure as ***
Lazima watu wafanye kazi , haijalishi unapata kiasi ganiKufanya kazi kwa bidii sio tu Africa hata huko kwa wenzetu
Unataka kusema watu weupe wanabweteka ila mabomu ya nucleur yanajiunda, magari yanajitengeneza viwandani yenyewe?
Mbona kama sisi waafrika ndio tumebweteka wenzetu wanafanya kazi kama punda kutuzidi
We wasemaNi sheria wa wamatumbi wajinga. Na hiyo sio dogma tu ni uhalisia unao persist kwenye DNA za asilimia kubwa ya binadamu wote.