Ubora wa elimu,uzuri wa nchi,utamaduni,na amaniElimu ni muhimu lakini zaidi ni ubora.
Katika kutafuta ubora huo baadhi huvuka bahari na kwenda nga'mbo kutafuta elimu iliyo bora katika fani mbali mbali. Kwa mfano vijana wengi Afrika hutamani kwenda nchi kama Uingereza, Marekani, Urusi na China ili kupata elimu bora.
Tukiangalia idadi ya wanafunzi wa nje katika nchi husika utaona kwa kiasi kikubwa kuna akisiwa na ubora wa elimu ya nchi hiyo.
Tumekuwa tukijadiliana sana hapa kuwa ni nchi gani hapa Afrika mashariki ina elimu bora kabisa. kuna watu wamehoji majengo na madaraja kuporomoka (Kenya) kuna akisi tatizo la elimu.
Leo nitawapa takwimu zinazoonesha idadi ya wanafunzi wa kimarekani wanao kuja kusoma Afrika. Ambapo, nchi ya kwanza kupokea wanafunzi wengi ni Afrika ya kusini ikifuatiliwa na Ghana, huku Tanzania ikiwa ya Tatu.
Je, Wamarekani wengi kuichagua Tanzania badala ya Kenya hakuakisi ubora wa elimu ya Tanzania?
View attachment 990944
Source
Halafu si wanachuo wa Marekani tu, bali hata wa European countries haswa wale was Ikolojia, misutu, maliasili, sheria za kimataifa, lugha na masomo ya Kiafrika.Hapa vijana wa Kenya watapotea hutawaona tena. Wataanza kusingizia Mod wanawabania.
Hapa vijana wa Kenya watapotea hutawaona tena. Wataanza kusingizia Mod wanawabania.
π π π π€£π€£π€£Watakuja na data zao za kupika...π π πHapa vijana wa Kenya watapotea hutawaona tena. Wataanza kusingizia Mod wanawabania.
Hapa watapita kimia kimiaElimu ni muhimu lakini zaidi ni ubora.
Katika kutafuta ubora huo baadhi huvuka bahari na kwenda nga'mbo kutafuta elimu iliyo bora katika fani mbali mbali. Kwa mfano vijana wengi Afrika hutamani kwenda nchi kama Uingereza, Marekani, Urusi na China ili kupata elimu bora.
Tukiangalia idadi ya wanafunzi wa nje katika nchi husika utaona kwa kiasi kikubwa kuna akisiwa na ubora wa elimu ya nchi hiyo.
Tumekuwa tukijadiliana sana hapa kuwa ni nchi gani hapa Afrika mashariki ina elimu bora kabisa. kuna watu wamehoji majengo na madaraja kuporomoka (Kenya) kuna akisi tatizo la elimu.
Leo nitawapa takwimu zinazoonesha idadi ya wanafunzi wa kimarekani wanao kuja kusoma Afrika. Ambapo, nchi ya kwanza kupokea wanafunzi wengi ni Afrika ya kusini ikifuatiliwa na Ghana, huku Tanzania ikiwa ya Tatu.
Je, Wamarekani wengi kuichagua Tanzania badala ya Kenya hakuakisi ubora wa elimu ya Tanzania?
View attachment 990944
Source
huko Uganda, Ghana na SA huwa wanaenda kusomeshwa kiswahili?I can guarantee 100% wamekuja tu kujifunza Kiswahili.
If we flip the coin, there are like 100,000 Tanzanians studying in Kenya. And only less than 1000 Kenyans studying in Tanzania.
Kusoma huwa ni practical zaidi kuliko theory...π π π π€£π€£
Imekubidi ukwepe mada kidhaifu hivyo...??π€£π€£π€£I can guarantee 100% wamekuja tu kujifunza Kiswahili.
If we flip the coin, there are like 100,000 Tanzanians studying in Kenya. And only less than 1000 Kenyans studying in Tanzania.
American system...Elimu ni muhimu lakini zaidi ni ubora.
Katika kutafuta ubora huo baadhi huvuka bahari na kwenda nga'mbo kutafuta elimu iliyo bora katika fani mbali mbali. Kwa mfano vijana wengi Afrika hutamani kwenda nchi kama Uingereza, Marekani, Urusi na China ili kupata elimu bora.
Tukiangalia idadi ya wanafunzi wa nje katika nchi husika utaona kwa kiasi kikubwa kuna akisiwa na ubora wa elimu ya nchi hiyo.
Tumekuwa tukijadiliana sana hapa kuwa ni nchi gani hapa Afrika mashariki ina elimu bora kabisa. kuna watu wamehoji majengo na madaraja kuporomoka (Kenya) kuna akisi tatizo la elimu.
Leo nitawapa takwimu zinazoonesha idadi ya wanafunzi wa kimarekani wanao kuja kusoma Afrika. Ambapo, nchi ya kwanza kupokea wanafunzi wengi ni Afrika ya kusini ikifuatiliwa na Ghana, huku Tanzania ikiwa ya Tatu.
Je, Wamarekani wengi kuichagua Tanzania badala ya Kenya hakuakisi ubora wa elimu ya Tanzania?
View attachment 990944
Source
Flip the coin and attach it with evidenceI can guarantee 100% wamekuja tu kujifunza Kiswahili.
If we flip the coin, there are like 100,000 Tanzanians studying in Kenya. And only less than 1000 Kenyans studying in Tanzania.
Umeongea kinyonge sana...Kama mwanaume ilikubidi ukae kimoa tu...π π π π€£π€£Hao wanafunzi ni wale wa exchange program wameenda Kuisoma umasikini unavyoadhiri Watanzania.
I can guarantee 100% wamekuja tu kujifunza Kiswahili.