Wamarekani wanatembea na silaha

Hii "conspiracy theory" ya mama'ko?...
 
Mimi nilimpenda sana yule black aliyeua askari watano yule.. daaah angekuwa ningemtafuta nimpongeze. Wazungu sometimes wanazingua sana
 
Tukio moja au mawili hayaifanyi nchi nzima kuwa mbaya na kuwa sijui imechafuka.

Huo ni uzushi wenu tu.

Marekani siyo Somalia wala Syria.
Bi mkubwa wengine wawili wako miguu juu michigan. Endelea kuimba Taarabu tu. Hio mipasho yako ina Mwisho.
Au neno "amani" Kwa kiha maana yake kuviziana Kati ya weusi na weupe sio!
Mtoto biskuti kweli kweli wewe.
 
Mkuu naomba unijibu hili swali, Hivi inapofikia stage ya watu kuongezeka kwa idadi, wanaomiliki silaha au wanaotembea na Silaha ina maana Amani inapungua au inaongezeka hiyo sehemu au Mji husika?
 
Mkuu naomba unijibu hili swali, Hivi inapofikia stage ya watu kuongezeka kwa idadi, wanaomiliki silaha au wanaotembea na Silaha ina maana Amani inapungua au inaongezeka hiyo sehemu au Mji husika?
Idadi wanaomiliki silaha ikiongezeka lazima mauaji yatakuwa mengi.

Nchi kama China kwa jinsi walivyo wengi waliona hili ndiyo maana sheria za China marufuku raia kumiliki silaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…